Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 13,075
- 38,625
Mimi kinacho nisaidia kustahimili kuziangalia ni hizi Horror movies, lakini kila akili ikikumbuka ni kweli chozi lina toka!Mimi hata sitaki kuziona tena maana nimeona chache tu na jana usiku sijaweza kulala.
Nikifumba macho naona damu za watu waliopigwa kichwani 😠!