Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #61
Watajifunza tu kuwa kukaza fuvu haisaidii, acha tuone!Hawa jamaa wana vichwa vigumu sana
Watajifunza tu kuwa kukaza fuvu haisaidii, acha tuone!Hawa jamaa wana vichwa vigumu sana
Hawana ubinadamu 😩Ni mbwaaaaaaa.
Watakufa tu.Hawana ubinadamu
Nakubaliana na wewe 💯Kilichobaki ni UKIONA UJUMBE WOWOTE WA POLISI UKIKUTAKA KUTOSAMBAZA PICHA AU VIDEO ZENYE MAUDHUI WASIYOYATAKA WAO, USIUSAMBAZE, FUTA DELETE KABISA!
UKIONA UJUMBE WA TCRA UKIKUTAKA KUTOSAMBAZA PICHA AU VIDEO ZENYE MAUDHUI WASIYOYATAKA WAO, USISAMBAZE. FUTA DELETE KABISA!
Nimeihamishia kwenye spam list piaNimeblock mimi naona ushubwada tu
💯💯 Hakuna linaloeleweka wanaloweza kutuambia kwa sasa.Mimi nimeiblock hiyo namba kama spammer. Mpaka nikiona Muliro, IGP, RCs na Dkt Samia wanafungwa ndipo nitairuhusu
Shem yuko wapi
Hiyo bebe ya chuga huko sijui itakuwa wapi saizi😂😂😂 maana ilipotea toka julyShem yuko wapi
Haha, unamkumbuka Gifted GirlHiyo bebe ya chuga huko sijui itakuwa wapi saizi😂😂😂 maana ilipotea toka july
Namkumbuka huyo naye sijui alipotelea wapi na yeye🙌🙌🙌Haha, unamkumbuka Gifted Girl
Mmmh ushaanza kuvizia mtoto mwingine nn 🤣
Sasa sweery anapoteaje mkuuu kizembe mtoto mwenye kigoda chake🤣🤣🤣🙌Mmmh ushaanza kuvizia mtoto mwingine nn 🤣
Kwanza vp umejua htmlSasa sweery anapoteaje mkuuu kizembe mtoto mwenye kigoda chake🤣🤣🤣🙌
Afu White
Sema anyways ngoja nikaze
VP kwani hakuna dem anaetafta bwana wa hiari, ddq sina tyme ya kuongoza🤣Sasa sweery anapoteaje mkuuu kizembe mtoto mwenye kigoda chake🤣🤣🤣🙌
Afu White
Sema anyways ngoja nikaze
Ila nae anivumilie sina tyme ya kumtoa out na kuongea ongeaVP kwani hakuna dem anaetafta bwana wa hiari, ddq sina tyme ya kuongoza🤣
Uoe sasa mkuu Kuna huyu yeye kila siku analalamika na mahusianoVP kwani hakuna dem anaetafta bwana wa hiari, ddq sina tyme ya kuongoza🤣
Aloooh mbona hapo kwenu vyuo vingi tafuta kamwanachuo kamoja ukageuze mke🔥🔥Ila nae anivumilie sina tyme ya kumtoa out na kuongea ongea