PostGE2025 Novemba 3 - Nimepokea SMS ya Polisi: Wanatisha raia kutosambaza picha na video

PostGE2025 Novemba 3 - Nimepokea SMS ya Polisi: Wanatisha raia kutosambaza picha na video

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Sasa unajifunzia wapi kama hutumii internet una vitabu?

Marafiki hawawezi support endapo unakuja na creative ideas kama hizi au biashara
Kidogo naonag jamaa wa bachelor wanakula msuli ila automatically siwezi kuwajoin mwisho uonekane mjuaji c unajua akili za watu 🤣
 
Kidogo naonag jamaa wa bachelor wanakula msuli ila automatically siwezi kuwajoin mwisho uonekane mjuaji c unajua akili za watu 🤣
Anhaaaa we unakausha tu wanapopiga ila sasa kujizuia ndo mtihaniiii🤣🤣
 
Sasa unajifunzia wapi kama hutumii internet una vitabu?

Marafiki hawawezi support endapo unakuja na creative ideas kama hizi au biashara
Napakuaga vitabu au machapisho na save as page nitumie offline... Library napata vitabu ila vingi vya zamani najifunza concept
 
Napakuaga vitabu au machapisho na save as page nitumie offline... Library napata vitabu ila vingi vya zamani najifunza concept
Anhaaaa hapo inakuwa at least bro sisi wengine tunahamia kwenye uproducer pia🤣

Nimeanza na cakeswalk
 
Natumia application hiyo inaitwa cakewalk by bandlab ni kwa ajili ya beginners but iko poa
Yeah, huwezi kuanza na software kubwa, hapo ukiwa na experience ukifkia juu ni kuteleza tuuu. Kukubwa kaza buti 💯💯💯
 
Wewe nakupa kazi ya kunitafutia intro na outro

Yaani zile ayo lizer, s2kizzy baby, the mix killer, sound by abbah
Kumbe zinaitwa intro na outro 🤣🤣🤣 hilo limeisha mkuu, mim hadi logo nitafurahi japo kutoa idea 🤣
 
Back
Top Bottom