PostGE2025 Novemba 3 - Nimepokea SMS ya Polisi: Wanatisha raia kutosambaza picha na video

PostGE2025 Novemba 3 - Nimepokea SMS ya Polisi: Wanatisha raia kutosambaza picha na video

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Yeah, huwezi kuanza na software kubwa, hapo ukiwa na experience ukifkia juu ni kuteleza tuuu. Kukubwa kaza buti 💯💯💯
Oyaaa ukianza na zile kubwa lazima uchanganyikiwe kila siku wanatoa updates mpya
 
Mm nina idea kidog na fl studio lakin waapi naishia kutengeneza beats za kunisupport tu nikiwa na stress 🤣🤣🤣
Tena saivi nina muda sijui kama ntakumbuka
 
Mm nina idea kidog na fl studio lakin waapi naishia kutengeneza beats za kunisupport tu nikiwa na stress 🤣🤣🤣
Aiseeee sema na kwenyewe kuna materminology ya kutoshaaaaa aiseee sema mdogo mdogo
 
Back
Top Bottom