Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,461
- 11,345
Unaiplay nyimbo mojaaaa mfululizooooNi nyimbo, ndo ule wimbo wa No Love
Unaiplay nyimbo mojaaaa mfululizooooNi nyimbo, ndo ule wimbo wa No Love
Sa C zinajirudia 😂🤣🤣Unaiplay nyimbo mojaaaa mfululizoooo
Usiwaze, hakuna cha kuogopesha.Lazima niogope 😂
Kua makini kijana, una bahatu kwa sasa niko bize kuna mambo naratibu kuhusu D9.Nisamehe bure mkuu sirudii tena 😂
Wewe kama mimi mkuuu nikianza kuplay wimbo mmmoja ni hadi siku 3-4Sa C zinajirudia 😂🤣🤣
Heee mkuu ndio umenichoka hivyo mpk unipe matapeli wa jf😀Uoe sasa mkuu Kuna huyu yeye kila siku analalamika na mahusiano
Sasa kijana wangu huyu utamfaaa kadogo2
Weweee huyu ni mwaminifu kwa kweli Rayns wewe mchukue huyuHeee mkuu ndio umenichoka hivyo mpk unipe matapeli wa jf😀
Aweeeee 😂Usiwaze, hakuna cha kuogopesha.
Una cheo gani kwel kiongozi 😂Kua makini kijana, una bahatu kwa sasa niko bize kuna mambo naratibu kuhusu D9.
Hahaa 😂 bora ww cku 3, mm ukiwa mzuri zaidi ni miaka na nauweka kwenye daftari langu la rekodi za Tunzo😂😂😂Wewe kama mimi mkuuu nikianza kuplay wimbo mmmoja ni hadi siku 3-4
Naona mmekuja kubebishana kwenye uzi wangu halafu mnaniteta bila kunitag.Au wewe ni ndo binti wa zamani
Hahaha wewe ndo noma sasa khaaaHahaa 😂 bora ww cku 3, mm ukiwa mzuri zaidi ni miaka na nauweka kwenye daftari langu la rekodi za Tunzo😂😂😂
Daaah hayaa sasa ngoja nione uzi huoio mwingine😎Naona mmekuja kubebishana kwenye uzi wangu halafu mnaniteta bila kunitag.
Haya speak to me directly 🤣
Hlafu uje huku niambie ni lini mara ya mwisho umeichapa - Kuelekea D9 tujikumbushe: Kuna utofauti kati ya kuichapa na kuikula
Ni mtu mzito dunianiUna cheo gani kwel kiongozi 😂