Kaka unajua kuactivate windows?Komyuniti
Ua la waridiNani huyo?
Tumia KMSKaka unajua kuactivate windows?
SE humu JF yote ni wewe tu 😎 😁Daaah nchumba uko fresh ni it nini wewe?
Sijui maana computer yangu haijawahi kunidai, ila naonag wanatumia kmsKaka unajua kuactivate windows?
Ka expert kamepigwa bannUa la waridi
Mmmh kmb mtaalam kbs, USIKU MWEMA 😂🤣SE humu JF yote ni wewe tu 😎 😁
Me niliipeleka kwa jamaaa mmoja mwezi wa tano akanitoza 5k niliumia sanaaaa wakati ni kitu naweza kukifanya me mwenyewe sema jamaaa alikuwa chap sanaaa kutypeSijui maana computer yangu haijawahi kunidai, ila naonag wanatumia kms
Kms ndo niniTumia KMS
Funga bakuli lako... We don't want any more deaths
Oya Rayns huyu anaweza kuwa ni yule mwalimu yuleeee anaitwaaaaaaa nani vileSE humu JF yote ni wewe tu 😎 😁
Hapan mimi kazi yangu ni winga tu pale maili moja, nipe kazi basi!Mmmh kmb mtaalam kbs, USIKU MWEMA 😂🤣
Engneer ni Google, jigeuze technician hakuna tatizo utashindwaMe niliipeleka kwa jamaaa mmoja mwezi wa tano akanitoza 5k niliumia sanaaaa wakati ni kitu naweza kukifanya me mwenyewe sema jamaaa alikuwa chap sanaaa kutype
Au wewe ni ndo binti wa zamani
Winga una iphone 17 basi umekuza brand sanaHapan mimi kazi yangu ni winga tu pale maili moja, nipe kazi basi!
We mwenyew ni kazi ujue 😂🤣Hapan mimi kazi yangu ni winga tu pale maili moja, nipe kazi basi!
Nahisi mkuuu maana ana id nyingi sana yule mara beesmom mara to yeye hata huyu anaweza kuwa ni yeyeTo yeye au 🤣😂
Ndiyo nani huyo? au demu wako?Au wewe ni ndo binti wa zamani