Rayns
JF-Expert Member
- Jul 29, 2023
- 5,694
- 10,832
HahaaaNahisi mkuuu maana ana id nyingi sana yule mara beesmom mara to yeye hata huyu anaweza kuwa ni yeye
HahaaaNahisi mkuuu maana ana id nyingi sana yule mara beesmom mara to yeye hata huyu anaweza kuwa ni yeye
Sorry, Are you KE or ME ?Ndiyo nani huyo? au demu wako?
Demu wangu si wewe au😃😃Ndiyo nani huyo? au demu wako?
Heeeee i wandaaaaa🤣🤣🤣🏃🏃🏃🏃🚀Sorry, Are you KE or ME ?
Atasa 😂🤣Demu wangu si wewe au😃😃
Oooh My Lord 🤣Heeeee i wandaaaaa🤣🤣🤣🏃🏃🏃🏃🚀
Hahahaha hiyo inaitwa kuushtua umaskini🤣🤣🤣Mkuu Xiao qui shui kesho naenda kufungulia njia za baraka nikaulizie bei ya gari ila sina hela 🤣😂
Sorry, Are you KE or ME ?
Ngoja nikiepuke hiki kikombe 🤣Kazi mimi unanifanyaje 🙊?
View attachment 3510671
Hahahaha hiyo inaitwa kuushtua umaskiniMkuu Xiao qui shui kesho naenda kufungulia njia za baraka nikaulizie bei ya gari ila sina hela 🤣😂
Sema kale kamzeee kale jau ila English yake inaonekana ikoOooh My Lord 🤣
Hahahaa daaah🤣🤣🤣🤣😂🤣🤣Hahahaha hiyo inaitwa kuushtua umaskini🤣🤣🤣
Sasa huyo binti ndiyo nani?Demu wangu si wewe au😃😃
Nimecheka kinomaaaa yaaani ujue atasa atasaAtasa 😂🤣
Huyo ni shangazi moja hivi lina umri umeenda linaongeleaga mapenzi kila mada yake na ndo aliyeannzisha hii thread nalo linawekaga hizo gifsSasa huyo binti ndiyo nani?
CV yako imekaa kimtego sana 🤣 anyway nina manager wangu atakupigia simu ufanye interview 😎😎😎Guys, guys, guys habarini, niko JF muda mrefu kama guest ila D9 na hotuba ya kesho ya chimama imenisukuma kufungua akaunti ili niweze kufuatilia mubashara na kuchangia.
Kama kuna kitu natakiwa kukijua basi nifahamisheni.
Kunihusu:
Jinsia - KE
Makazi - Pwani
Kazi - Winga
Umri - Gen Z
Mahusiano - Hayaeleweki bado
Mtoto - Sina
- Arya Stark
- hodi mgeni new member samia
- Replies: 82
- Forum: Utambulisho (Member Intro Forum)
Nimezichanga kwa miaka 2, bado nakaa home so hela yangu naiwekaWinga una iphone 17 basi umekuza brand sana
Kuna teacher wangu anapenda kutamka hilo neno huwa nacheka kweri 😎🤣🤣🤣Nimecheka kinomaaaa yaaani ujue atasa atasa
Aaaah mwanangu sisi huku wazeee wazeee ndo wakutosha wanakuambia panda miti baada ya miezi kafldhaa uvuneKuna teacher wangu anapenda kutamka hilo neno huwa nacheka kweri 😎🤣🤣🤣