Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,461
- 11,345
Ila chaiYeah, pia Chai, Lunch, na posho hatukati kwenye mshahara wako. Karibu 😎😂
Ila chaiYeah, pia Chai, Lunch, na posho hatukati kwenye mshahara wako. Karibu 😎😂
Sawa simjui ila msalimie sana!Yeah, she's my aunt 😎
Eeeh ngoja tufight tuje kumpa kadi raynsSawa, zikitiki tunakua mamilionea.
Basi endelea hivyo hivyo babe!
Duuuh kwanini usiichajiOya Xiao qui shui me nasepa nitunze chaji ya kesho. I'm under 20% 😢
Unakokaa hakuna umeme?Oya Xiao qui shui me nasepa nitunze chaji ya kesho. I'm under 20% 😢
Sio kweli Aljazeera inapatikana TZ kama kawaida. Leo hii usiku huu nimetoka kutizama aljazeera news kupitia azam tv channel no 231.Wame iblock sasa Al Jazeera haipatikani tena Tanzania.
Kadi ya 😂Eeeh ngoja tufight tuje kumpa kadi rayns
Hiki kichwa/runguu?Tumeajiri Vishu linagonga Chai tu 😂
View attachment 3510674
Nimemwazima USB mshkajiDuuuh kwanini usiichaji
One qn tayari gumu kwakeUnakokaa hakuna umeme?
Mbona DStv uhakika aljazeera hadi bbcSio kweli Aljazeera inapatikana TZ kama kawaida. Leo hii usiku huu nimetoka kutizama aljazeera news kupitia azam tv channel no 231.
Chai😉😉Nimemwazima USB mshkaji
Sio rahisi ku block chombo kikubwa kama Aljazeera.Mbona DStv uhakika aljazeera hadi bbc
Au rafiki yako yuko jela 😁One qn tayari gumu kwake
Mmmh unajua maanake
Pana umeme na nataka nicheck movie Ila sina usbUnakokaa hakuna umeme?
Duuuuh hilo hawaweziSio rahisi ku block chombo kikubwa kama Aljazeera.
Hao Israel wenyewe waliamua kuwafukuza kwa bunduki kabisa WestBank na Israel,ila still bado wanarusha habari zilizopo Israel na Westbank.
Maana Aljazeera kwasasa ndio chombo kikubwa cha habari duniani kiufanisi hadi kituzo.