Arya Stark
Senior Member
- Dec 1, 2025
- 147
- 253
Si chai kifungua kinywa na inaweza kuwa ya rangi au maziwa.Mmmh unajua maanake
Si chai kifungua kinywa na inaweza kuwa ya rangi au maziwa.Mmmh unajua maanake
Wew umetoa wapi comment yangu 😂 we ni hacker nini 😂😂😂
KWanza alinipotea toka October 7 ndo karudi leo nilikuwa mpweke me humu hfAu rafiki yako yuko jela 😁
Usiogope 😂😂😂Wew umetoa wapi comment yangu 😂 we ni hacker nini 😂😂😂
Ukiambiwa chai huku maanake ni muongo🔥🔥Si chai kifungua kinywa na inaweza kuwa ya rangi au maziwa.
Oooh sikujuaUkiambiwa chai huku maanake ni muongo🔥🔥
Pana umeme na nataka nicheck movie Ila sina usbUnakokaa hakuna umeme?
Nndo umejua sasa dearOooh sikujua
Asante kwa kunijuza.Nndo umejua sasa dear
Na bado🤣🤣Wew umetoa wapi comment yangu 😂 we ni hacker nini 😂😂😂
Umenishtua bro hiyo ni muvi kweli au ndo zile ........... Mbona sijaielewaPana umeme na nataka nicheck movie Ila sina usb
View attachment 3510676
No worries usiku mwema ulale usingizi unonoAsante kwa kunijuza.
Acha nikuage, I'm sleepy naenda kulala!
Wewe pia, usiku mwema!No worries usiku mwema ulale usingizi unono
🔥🙏🔥Wewe pia, usiku mwema!
Mkuu unakosea sana kusambaza picha ya agent makini bila idhini yake, acha kabisa, nikikasirika kisasi changu ni kibaya sana. Utaumia.Nimekuambia unahezewa na huyu
Nipo mkuu nipe muongozo wa hapa
Nipo mkuu nasoma comment tu za wanajfUlipotea sana mzeee nikajua na wewe ulikuwa Frontline mo29😃😃
Lazima niogope 😂Usiogope 😂😂😂
Ni nyimbo, ndo ule wimbo wa No LoveNa bado🤣🤣
Umenishtua bro hiyo ni muvi kweli au ndo zile ........... Mbona sijaielewa
Nisamehe bure mkuu sirudii tena 😂Mkuu unakosea sana kusambaza picha ya agent makini bila idhini yake, acha kabisa, nikikasirika kisasi changu ni kibaya sana. Utaumia.