Rayns
JF-Expert Member
- Jul 29, 2023
- 5,694
- 10,832
Ni nzuri kwa beginners?Anhaaa duhh ngoja me nianze na hii cakewalk kuna jamaaa nilimuona anatumia mic ya earphones kurecord na ngoma zinatoka kali
Ni nzuri kwa beginners?Anhaaa duhh ngoja me nianze na hii cakewalk kuna jamaaa nilimuona anatumia mic ya earphones kurecord na ngoma zinatoka kali
Oya hahahah 😂, ngoja nianze rasmi hivi kaka vile vipocket wifi ni bei gani nqtaka nichukue hata kileIla beat hata kama sio zuri ukiingizia saut inakuwa 💯
Elfo 50 unalipia 10000 10GB kwa mweziOya hahahah 😂, ngoja nianze rasmi hivi kaka vile vipocket wifi ni bei gani nqtaka nichukue hata kile
Aaah kati ya hizo na zile postpaid zipi bora sasa hapo mkuu?Elfo 50 unalipia 10000 10GB kwa mwezi
Unaguna nini bro
Daaaah august alsina ndo nani hapo marekani maana jina geni maishani mwanguNa ww🤣 sio mm nijulie wapi sasa, huo wimbo wa August Alsina X Nick Minaj unaitwa 'No Love'
Nakuja 🏃🏃😂Sawa njoo tuongee vizuri
Haya nakusubiri kule ulikoandika "ushirikina" 😆 😆 😁Nakuja 🏃🏃😂
Wifi nahisi ina ka uafadhali kidogoAaah kati ya hizo na zile postpaid zipi bora sasa hapo mkuu?
Naona bibi harusi wako kaingia 😂Unaguna nini bro
Huo wimbo ni wa 2014 kama sikosei, nilipita nao tu kisa ni mzuri, huyo msanii simjuiDaaaah august alsina ndo nani hapo marekani maana jina geni maishani mwangu
Hihihi 😂🤣Nakuja 🏃🏃😂
Ngoja ninunue pia si unaelewa na ile kazi yetu ile 😂Wifi nahisi ina ka uafadhali kidogo
Aaaah kaka kaka kaka uko race sana 🤣🤣🫵Naona bibi harusi wako kaingia 😂
Eeeh 😂Ngoja ninunue pia si unaelewa na ile kazi yetu ile 😂
Naona hadi responses zimerud kwa bibi harusi 😂 we deal nae kwanzaAaaah kaka kaka kaka uko race sana 🤣🤣🫵
Hilo jicho lako hapo chini linamaanisha nini?Eeeh 😂
Hahaha ila sapampa sina 🤭Naona hadi responses zimerud kwa bibi harusi 😂 we deal nae kwanza
Namaanisha Nakuona 🕵️Hilo jicho lako hapo chini linamaanisha nini?
(kwenye signature)