Mmmh hamna kaka nilianza kusoma python sasa nikona mambo magumu nikastop🏃🏃Kwanza vp umejua html
🤣🤣🤣 Nataka beautiful girl kama my Gifted Girl ♥️Aloooh mbona hapo kwenu vyuo vingi tafuta kamwanachuo kamoja ukageuze mke🔥🔥
Duuuh aiseee sema wadada wengi hawachangiagi mada hapa jf ila wapo wengi sanaUnanitafutia mtu aliekubuhu na kushindikana, mm nitamuweza 🤣🤣
Hihihi 😂 html ilikuzingua au pythonMmmh hamna kaka nilianza kusoma python sasa nikona mambo magumu nikastop🏃🏃
Wewe ushaimaster?
Python nikaamza kuona strings na vitu kama hivo nikala lekcha ya pili ya tatu nikasepa nikasema nitaisoma pole pole weeh ndo sijawahi funguaHihihi 😂 html ilikuzingua au python
Natafta dem wa kuoa kabsa, niishi nae anisuir for almost 5 years kama just a pre wifeDuuuh aiseee sema wadada wengi hawachangiagi mada hapa jf ila wapo wengi sana
Ila sasa kujua kama sio mshangazi ndo kazi
Kumpata sas labda Nirudi 1987Natafta dem wa kuoa kabsa, niishi nae anisuir for almost 5 years kama just a pre wife
Kumpata sas labda Nirudi 198Natafta dem wa kuoa kabsa, niishi nae anisuir for almost 5 years kama just a pre wife
Hihihi 🤣🤣🤣🤣Python nikaamza kuona strings na vitu kama hivo nikala lekcha ya pili ya tatu nikasepa nikasema nitaisoma pole pole weeh ndo sijawahi fungua
Siku hizi wanawake sio waaminifu mkuuNatafta dem wa kuoa kabsa, niishi nae anisuir for almost 5 years kama just a pre wife
Sasa hiyo ina ka uafadhali zingine zinanichangnyaga sometimes natamani niishi kama binadamu wenzangu tuPython nikaamza kuona strings na vitu kama hivo nikala lekcha ya pili ya tatu nikasepa nikasema nitaisoma pole pole weeh ndo sijawahi fungua
Wapo kaka ila wachache ongea na wazeee uje kunipa kadi🤣🤣🙌Kumpata sas labda Nirudi 198
Hata wewe huenda kuna mtu alikamata na text zako 🤣 so fumba macho, au cheza mbele ila usipende kula kula wanawake wa ndoto 💯💯💯Siku hizi wanawake sio waaminifu mkuu
Kuna mmoja huyo ananitafuta tafuta wakati nishastop kumcheki na niliwahi mkamata na text za wanaume zaidi ya mara mbili na mara ya tatu alifuta texts nisizione nikaamua kumuacha bila.kumwambia
🤣🤣🤣🤣Wapo kaka ila wachache ongea na wazeee uje kunipa kadi🤣🤣🙌
Sema kama aliyegundua zile ni binadamu so we can do it 💪💪Sasa hiyo ina ka uafadhali zingine zinanichangnyaga sometimes natamani niishi kama binadamu wenzangu tu
Kaka sijawahi kaka me sichatigi na wanawake me nachat na 👇Hata wewe huenda kuna mtu alikamata na text zako 🤣 so fumba macho, au cheza mbele ila usipende kula kula wanawake wa ndoto 💯💯💯
Sina internet, sina marafk wanaosupport, niko mwenyew tuu wahuni ndio kwanza wanapenda kubet na mpira, yaan sema kuna kautam kanakufanya usiache tuu yaaniSema kama aliyegundua zile ni binadamu so we can do it 💪💪
Sasa ukipata changamoto na hauna internet ni changamoto kidogo yaani 😡Sina internet, sina marafk wanaosupport, niko mwenyew tuu wahuni ndio kwanza wanapenda kubet na mpira, yaan sema kuna kautam kanakufanya usiache tuu yaani
Sasa unajifunzia wapi kama hutumii internet una vitabu?Sina internet, sina marafk wanaosupport, niko mwenyew tuu wahuni ndio kwanza wanapenda kubet na mpira, yaan sema kuna kautam kanakufanya usiache tuu yaani
Hahaha mm nachat nao kuuliza kipindi, au nikikosa kazi ili namm nitimize tu wajibu 🤣🤣Kaka sijawahi kaka me sichatigi na wanawake me nachat na 👇
Chatgpt
Grok ai
Deepseek ai
Duckduckgo ai
Microsoft bing