PostGE2025 Novemba 3 - Nimepokea SMS ya Polisi: Wanatisha raia kutosambaza picha na video

PostGE2025 Novemba 3 - Nimepokea SMS ya Polisi: Wanatisha raia kutosambaza picha na video

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huo sasa ni uchawa
Nakuona kama shetani na lipicha lako la wadhalimu, hebu nipishe hapa usinitafutie dhambi ndogo ndogo!

Screenshot 2025-11-03 at 15.26.02.png
 
Kikubwa wananchi wamejitoa kwa jasho,damu na uhai..Sasa ni kusubiri sheria na Legitimacy tu ndio kete iliyobaki.

Maana kwa hali hii ya vitisho,ubabe,jeuri na dharau,watu si wataishi kama digidigi jamani mwisho wa siku hata wapunguze life span zao!?
Subiri tuone itakuwaje
 
Back
Top Bottom