PostGE2025 Novemba 3 - Nimepokea SMS ya Polisi: Wanatisha raia kutosambaza picha na video

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Walisema hakuna vifo, tena walikwenda mbali wakijitapa kuwa kama ni kweli toeni ushahidi wa palisi wakiua raia. Sasa hivi wamebadili gia baada ya kuona unyama wao umewekwa bayana.
Ndiyo hapo sasa, naona wanatishia wananchi wakiweka picha na video za ushahidi mtandaoni watakamatwa 😫🀬 .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…