Sasa babe me sina hela so tunafanyajeπ€£π€£π€£Depends, hiyo kupendwa inakuja na nini?
Kwanini mkuuu, huyo sio mimi mkuuu ni mtu wa chuga hukoToka hapa π€£π€£π€£π€£ huenda hata sweery ni ww mwenyewe ππππ€£
Kakuambia anataka helaSasa babe me sina hela so tunafanyajeπ€£π€£π€£
Siku hizi ndo anajiita marchey unaona sasa watu tunabadili majina sanaUnamkumbuka Marchey
Hii Ua la waridi umemjuaje ghafla jana tuKwanini mkuuu, huyo sio mimi mkuuu ni mtu wa chuga huko
Sawa atapata wenye helaππKakuambia anataka hela
@cassnzoba aliniponda kwel kuna cku nilileta story kilema π€£π€£Siku hizi ndo anajiita marchey unaona sasa watu tunabadili majina sana
Saizi sidhani kama nitabadili
Niambie wewe bebi usiye na hela unataka tufanyaje!Sasa babe me sina hela so tunafanyajeπ€£π€£π€£
Aaah sasa alijitambulisha mwenyewe jana kwenye thread yakeHii Ua la waridi umemjuaje ghafla jana tu
Anakutaka ww sio hela, iphone yenyew kanunua yey hajanunuliw na mtu, tuliza wenge mkuu π€£Sawa atapata wenye helaππ
Aiseeee siku ile ulizingua mkuuu na nilikuwa na Evelyn Salt halafu ukabadili na id ikawajeπ€£π€£@cassnzoba aliniponda kwel kuna cku nilileta story kilema π€£π€£
Naijuaaaaaaa hiyoooooooooooooooooπππππππAnakutaka ww sio hela, iphone yenyew kanunua yey hajanunuliw na mtu, tuliza wenge mkuu π€£
Sawa, sasa kwa ruhusa yako nilikuwa na ombi moja kutoka kwa Ua la waridi kama hatojali kabla sijalalaAaah sasa alijitambulisha mwenyewe jana kwenye thread yake
Lengo langu kukuescot mshkaji wangu, tumetoka mbali, something cool wala sio kibayaSawa, sasa kwa ruhusa yako nilikuwa na ombi moja kutoka kwa Ua la waridi kama hatojali kabla sijalala
Yaaaa, ndo umuite mkuuuuu daaah π€£π€£π€£πAiseeee siku ile ulizingua mkuuu na nilikuwa na Evelyn Salt halafu ukabadili na id ikawajeπ€£π€£
Weeee kaka wewe nioneeee huruma basi sina hela mieSawa, sasa kwa ruhusa yako nilikuwa na ombi moja kutoka kwa Ua la waridi kama hatojali kabla sijalala
@foodAiseeee siku ile ulizingua mkuuu na nilikuwa na Evelyn Salt halafu ukabadili na id ikawajeπ€£π€£
Ndo unamuogopa kiadi hikoooo ππYaaaa, ndo umuite mkuuuuu daaah π€£π€£π€£π
Rudi kwenye account yako ujibuWeeee kaka wewe nioneeee huruma basi sina hela mie
Nasikiliza piano la umlando tu hapa