November 25 yagombaniwa, Efm/TvE vs Clouds Media

Ni sawa na ile show ya jide!
 
DAB at work.... Siku hizi amahamia Efm
 
Hivi mmesahau Clouds walichomfanyia Ladyjdee kwa kumuandalia mwana FA tamasha Siku Moja na la Jde ili kumkomoa? Leo Efm wanafanya the same thing mnasema ni utoto? Tuwaache wapambane wote wanajua uhuni wanaofanyiana
What goes around, comes around. Karma is the "beach"
 
Hawana cha kupoteza, watafanikiwa sana kama lengo lao ni nyomi.

Tv za wapemba tu mitaani wabongo wanajaa nje ya maduka kuangalia movie za bure ndio sembuse show za bure?
Hahahah mkuu umenivunja mbavu yaani dah
 
Usijitoe ufahamu kujisahaulisha hao clouds walipopanga show ya Mwana Fa wakati siku hiyo Ladyjaydee alikuwa na uzinduzi wa albamu yake na wasanii aliowaalika Jide hawakwenda wakaenda show ya clouds

Mkuu watu walijaa sana kwa Jide, naomba utambue hilo,show waliyoandaa Mawingu kwa kisingizio cha the Finest of FA,Ndo ilidoda.... Mawingu acha na wao wapate changamoto,huko nyuma walijiona wao ndo wenye trade mark ya nyimbo za bongo flava
 
Fiesta USIKU
TvE/Efm mchana
Nazungumzia uzoefu unaonesha hivyo.
Pili VENUE NI TOFAUT,shida iko wapi?
Tatu,Dar ina wilaya 5 si wagawane wilaya tu
 
Usisahau na shows za fiesta watu huvuliwaga nguo pale kino makaburini kila linapofanyika mabint hudhalilishwa sana na wahuni
 
Mfumo ni wa biashara huria,kuna wakat JD na Mwana FA walifanya show siku 1,
Mambo ya kusema mpishe flan afanye sio zama hizi,
Efm watakua na venue yao na wasanii wao,clouds pia.
So wala hakuna KUOGOPANA,hizo ni biashara mkuu usiumize kichwa hata kidogo,itakua ajabu nao clouds kama watamhofia EFM[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpo wangap, wenye hela kumbuka hilo tamasha la bure wanataka umati si pesa? EFM mleteni Diamond name msanii mmoja was nje mmalize kazi
 
Mpo wangap, wenye hela kumbuka hilo tamasha la bure wanataka umati si pesa? EFM mleteni Diamond name msanii mmoja was nje mmalize kazi
Efm wanainvest katika mabif ya kijinga...

WCB crew tayari wana mgogoro nao .

Watafeli vibaya sana. Wabaki tu na singeli zao.
 
Ila moja ina bei nyingine ni bure......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…