Friday Malafyale
JF-Expert Member
- Jan 18, 2017
- 1,811
- 2,916
bashite ndio nani etiUtasikia bashitee yupo nyuma ya hili suala. Mark my words....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bashite ndio nani etiUtasikia bashitee yupo nyuma ya hili suala. Mark my words....
Ni sawa na ile show ya jide!Karma is a bitch.
Kuna siku watu mtakuja kusema ccm inaonewa kwa sababu sasa hivi ipo madarakani hamuoni inavyowatesa Watanzania. Ni sawa na hao clouds nakumbuka tamasha la Sugu la Anti virus nao walipanga tarehe hiyohiyo na wakamleta msanii kutoka Marekani, lakini Sugu alishinda kwa kupata public sympathy.
DAB at work.... Siku hizi amahamia EfmMtanange huu ulianza hapo jana pale ambapo TvE/Efm walipotoa tangazo la Ssebo kuzungumza leo na Clouds nao wakapandisha Ruge kuzungumza muda uleule wa Watani wao wa Jadi!
Nimepata butwaa kusikia Efm/TvE watakuwa na tamasha la bure 25th Novemba 2017 ambayo ndio siku Fiesta Dar itafanyika.
Haya sie wajuvi wa mambo husema ngoma bado mbichi...mtoto wa miaka 3 na miezi 8 anamvimbishia babu wa miaka 20.
Hii vita ya kichini chini ni tamu sana na itakuza media za nchi kama wote watakuwa na akili ya ushindani!!!!
Ndo ivo....yupo Efm nowadaysUtasikia bashitee yupo nyuma ya hili suala. Mark my words....
What goes around, comes around. Karma is the "beach"Hivi mmesahau Clouds walichomfanyia Ladyjdee kwa kumuandalia mwana FA tamasha Siku Moja na la Jde ili kumkomoa? Leo Efm wanafanya the same thing mnasema ni utoto? Tuwaache wapambane wote wanajua uhuni wanaofanyiana
True brother ukiangalia DAB haitaki cloudsOK, Sikumbuki hiyo ila hata hivyo ningekua mimi Ruge Soko la Dar ningeachana nalo kwa sasa..too much politics involved!
Hahahah mkuu umenivunja mbavu yaani dahHawana cha kupoteza, watafanikiwa sana kama lengo lao ni nyomi.
Tv za wapemba tu mitaani wabongo wanajaa nje ya maduka kuangalia movie za bure ndio sembuse show za bure?
Usijitoe ufahamu kujisahaulisha hao clouds walipopanga show ya Mwana Fa wakati siku hiyo Ladyjaydee alikuwa na uzinduzi wa albamu yake na wasanii aliowaalika Jide hawakwenda wakaenda show ya clouds
Fiesta USIKUMtanange huu ulianza hapo jana pale ambapo TvE/Efm walipotoa tangazo la Ssebo kuzungumza leo na Clouds nao wakapandisha Ruge kuzungumza muda uleule wa Watani wao wa Jadi!
Nimepata butwaa kusikia Efm/TvE watakuwa na tamasha la bure 25th Novemba 2017 ambayo ndio siku Fiesta Dar itafanyika.
Haya sie wajuvi wa mambo husema ngoma bado mbichi...mtoto wa miaka 3 na miezi 8 anamvimbishia babu wa miaka 20.
Hii vita ya kichini chini ni tamu sana na itakuza media za nchi kama wote watakuwa na akili ya ushindani!!!!
Usisahau na shows za fiesta watu huvuliwaga nguo pale kino makaburini kila linapofanyika mabint hudhalilishwa sana na wahuniYani niende kwenye tamasha la bure nirudi na ngeu???? kwa sisi wapenda burudani na starehe tunapendelea matamasha yenye viingilio tena ikiwezekana bei ikiwa kubwa mana ustaarabu unakuwepo, tunahangaika kutafuta pesa haipaswi kupata mateso wakati wa kuitumia.....wahenga wanasema "bure gharama"
Eatv usisahau wameweza kuandaa tuzo za mambo mengi,na ni jamaa ambao wabunifu kupita efm,cloudsNi kweli na nimefurahi clouds now wamepata mshindani wa kweli maana naona east africa tv /radio walichemsha mpambano
Mfumo ni wa biashara huria,kuna wakat JD na Mwana FA walifanya show siku 1,Hata kama ni Competition hicho wanachotaka kufanya Efm/TVE ni utoto sasa... Kwa style hii maendeleo nchi hii ngumu sana
Inajulikana Fiesta ni brand ya clouds kwa nini usipange ratiba zako tarehe nyingine kama unahamu ya kutupa tamasha la bure? To me that is so low and pathetic! Kama wao ndio walianza kutangaza tarehe basi clouds wasogeze mbele
Mpo wangap, wenye hela kumbuka hilo tamasha la bure wanataka umati si pesa? EFM mleteni Diamond name msanii mmoja was nje mmalize kaziYani niende kwenye tamasha la bure nirudi na ngeu???? kwa sisi wapenda burudani na starehe tunapendelea matamasha yenye viingilio tena ikiwezekana bei ikiwa kubwa mana ustaarabu unakuwepo, tunahangaika kutafuta pesa haipaswi kupata mateso wakati wa kuitumia.....wahenga wanasema "bure gharama"
Diamond mme mwenzao (Majay na Mobeto) hawawezi kumletaMpo wangap, wenye hela kumbuka hilo tamasha la bure wanataka umati si pesa? EFM mleteni Diamond name msanii mmoja was nje mmalize kazi
Efm wanainvest katika mabif ya kijinga...Mpo wangap, wenye hela kumbuka hilo tamasha la bure wanataka umati si pesa? EFM mleteni Diamond name msanii mmoja was nje mmalize kazi
Ila moja ina bei nyingine ni bure......We jamaa umejudge vibaya.
Katika kuelekea uchumi wa viwanda, hivi ndivyo sisi tunataka.
Muuzaji "A" lete product yako, muuzaji ''B" leta product yako pia, msiogope tangazeni sifa za products zenu
Haina haja ya mzalishaji asitishe kutoa huduma yake sababu sokoni tayari Kuna product hio.
Kama wataona kuna conflict of interest wao watakaa chini watapanga,Ila wewe Kama mshabiki una wasi wasi gani?!