November 25 yagombaniwa, Efm/TvE vs Clouds Media

hapa le mutuz yuko upande gani? make alishawahi kuniblock kule FB kipindi cha clouds vs jide, yeye alikuwa teamclouds wazee wa fursa mie nilikuwa [HASHTAG]#teamanaconder[/HASHTAG] lady jay dee binti machozi
 
Huyo jamaa ni muongo mnooo...

Kwenye matamasha ya EFM ya Muziki Mnene wasanii wa WCB Richie Mavoko na Rayvanny walitumbuiza..Sasa hilo bifu sijui limetoka wapi eti...
 
Walioanza kufanya uhuni ni clouds labda km wewe mgeni mwaka Jana nadhani wenzao walikuwa na tamasha chuo cha posta na wao wakaweka lao la chips yai Tmk.
 
Huyo jamaa ni muongo mnooo...

Kwenye matamasha ya EFM ya Muziki Mnene wasanii wa WCB Richie Mavoko na Rayvanny walitumbuiza..Sasa hilo bifu sijui limetoka wapi eti...
Labda anahis sie wa KOLOMIJE
 
Ushawahi kwenda fiesta? Hilo tamasha ndio linaongoza kwa wizi na ukabaji sehem zote kuanzia linapowekwa.
 
Kati yao Hawa Nani bado ana beef na clouds nowadays
Umebadili swali tena?..Swali la msingi lilikuwa msanii kuwa na beef na Clouds na kuendelea kutamba...Hao waliotajwa pamoja na kwamba walikuwa na beef waliendelea kutamba (jibu la swali lako la msingi)..Pamoja na beef kuisha mpaka sasa Clouds hawachezi nyimbo za Jide na bado anatamba...
 
ni msanii gani aliewahi kuwa na bifu na clouds afu akaendlea kutamba?
Swali lako nilishakujibu,nimekutajia waliowah kuwa na beef na wametamba.
Sasa ulitaka waendelee kugombana milele?Then?What next.
Nimekwambia Jay,Sugu na JIDE.
Na hata leo JIDE hana mahusiano mazur na clouds ukicompare na miaka 5 nyuma
Kati yao Hawa Nani bado ana beef na clouds nowadays
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labda wewe atakuelewa.
Kina Dr Shika wamejaa
 
leo sebo mwenyew anakuambia iyo show mdhamini ni paul makonda na ni show ya wanavyuo kiingilio ni kitambulisho chako
 
Jamaa anaamisha magoli, atakuwa wa mikoani huyu siyo bure[emoji3] [emoji3]
 
Wacha kujisahaulisha Wewe!
unakumbuka clouds walichomfanyia jide?

Tulia mkuu .....tena Wabongo tunavyopenda vya bure
umesahau na juzi mbagala wakati wanaipa promo choice fm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…