Now mil 50 UTT, napambana ifike mil 65 mwaka huu

Habari,

Lengo sio kujitamba Bali ni kupeana chachu ya kuendelea kupambana. Leo nimefikisha 50ml lengo langu mwaka huu ni 65ml kutokana na saving zangu.

Sihitaji high return business bora nipate low return with minimal risk. Coz biashara imewahi nichakaza nikachanganyikiwa now sitaki kurudia makosa yaliopita. Kwangu UTT ni Bora zaidi! Nimewekeza Umoja, Jikimu, na Bond
Hongera sana. Kadiri unavyo invest kwa muda mrefu zaidi, ndivyo return inavyokuwa kubwa. Mimi tangu nianze ajira yangu ya kwanza mwaka 2015, niliazimia monthly kuweka zaidi ya asilimia 70 ya mshahara wangu UTT kwa sababu sikuwa na sina muda wa kusimamia biashara actively. Nikatumikia committment yangu kwa uaminifu mkubwa.

Kuna miezi nilikuwa nje ya ajira lakini sikutoa hela yangu UTT. Mwishoni wa mwaka 2023, nilikuwa na milioni 200 kwenye account yangu ya Liquid fund.

January 2024 nikatoa milioni 70 nikanunua kiwanja cha square meter 1900 bunju B chenye foundation ya ujenzi tayari.

Malengo yangu ifikapo mwaka 2030 niwe na hela isiyopungua milioni 700 kwenye account yangu ya UTT liquid + hela yangu ya nssf nitakuwa na kama milioni 800 hivi.

Then nimepanga baada ya hapo kutoa milioni 200 nijenge kwenye hicho kiwanja na hela inayobaki nahamishia mfuko wa bond ili niweze kupata mshahara wangu wa kila mwezi from UTT bila jasho. I want to retire at age 42. Tuendelee kufukuzia malengo mkuu...
 
Mkuu naona ulianza hiyo 2015 na 100m sirahis kufikisha 200m kama uliweka 50m
 
Biashara Gani iliwahi kukuchakaza
 
Asilimia 70 ya mshahara wako ilikuwa kias gani mana hesabu zinasoma ulilupwa kama million 4.3+. Na ndo ajira yako ya kwanza hiyo
 
POTELEA MBALI.

mwaka 2022 niliagiza mzigo wangu wa nguo china million 60 nikapata faida ya million 40. Jumla ikawa 100.

Now namiliki heka elf 6 mkuranga nalima ufuta na nyingine zinaendelea kujizungusha huko kariakoo.

Mwakani naoa, Nina mpango nikifika miaka 35 niwe nakula mafao ya million 30 kila mwezi na mpango wa utt amis Sina kabisa

Cc. Moderator
 
Mkuu naona ulianza hiyo 2015 na 100m sirahis kufikisha 200m kama uliweka 50m
Mkuu mwaka 2015 sikuanza na amount yoyote kubwa. Nakumbuka take home yangu ilikuwa around 900,000 kwa mwezi. Kila mwezi nilijitahidi sana kuweka UTT kati ya 600,000 mpaka 700,000 kila mwezi. Tangu mwaka 2015 hadi sasa nimeshafanya kazi kwenye taasisi tatu tofauti na mshahara umekuwa ukiongezeka kulingana na uzoefu. Mshahara ukiongezeka na deposit yangu to UTT naongeza pia. Discipline ya frugality/ubahili kwa kiasi flani ilinisaidia sana...
 
Hesabu kwa hiyo hela zinakataa. Haiwez kufika mkuu mana uhalisia unakataa. Hiyo pesa ni nyingi sana mkuu sio kitoto ndani ya miaka 7 upate million 200 kwa mana kila mwaka million 30. Je kwenye hii 30 kwa mwez ilikuwa unaweka kias gani na ongezeko lilikuwaje kwa mwaka mzima ifike 30milion
 
Mimi nataka nizitoe huko faida ndogo haitoshi hata kununua hennesy xo ya 500,000

Niliweka 50m UTT BOND gawio nalopata kwa mwezi ni hili[emoji116]
Ndugu Mteja
Umepokea kiasi cha TZS 436,160.48 katika akaunti yako nambari: 015*******00
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia 071*197700
Kwa nini usikuze mtaji? Badala ya kupokea gawio kila mwezi,ungechagua option ya kukuza mtaji (re investment program)
 
Back
Top Bottom