A
Anonymous
Guest
Mwaka 2025 nilifungua madai ya mafao ya kukosa ajira NSSF wakanipa 33.3% mwisho ikawa ni mwezi wa 11 kuingiziwa sasa Januari 2026 nilifanya kazi kwenye taasisi Fulani na mwezi wa Tano nilimalizana nao (yaani nimefanya kazi kwa muda wa Miezi mitano) sasa kwa mujibu wa Taratibu za NSSF mpya ukikosa ajira una option ya kuchaguwa aina ya fao ukihitaji la %33.3 utakaa mwezi Mmoja na ukihitaji pesa yako yote unakaa siku 90 (Miezi 3).
Sasa nilikaa siku 90 nimefungua madai eti naambiwa mpaka nitimize miezi 18 na ilihali mwezi wa tano 2026 walipitisha pia utaratibu wa kumruhusu mtu Ambae amelipwa %33.3 ambaye hajapata ajira kupewa pesa iliyobaki.
Sasa nashindwa kuwaelewa nini tatizo ikiwa mtu Ambae amelipwa 33.3% ameruhusiwa kuchukuwa pesa yake yote iliyobaki vipi mimi ambaye nimelipwa 33.3% niliepata kazi na nikafanya kwa muda mchache?
Nikatimiza vigezo vya siku 90 halafu wanirudishe kwenye %33.3 ambayo kuna watu wamewalipa inaumiza sana hii.