A
Sio kweli mkuu, sema tuu huyo ameenda na mkono mtupu ambao haulambwi, atapigwa danadana mpaka akome😃😃😃.umejikoroga ukiingia mfumo wa 33.3 HAUTOKI MPAKA UNAKUFA.
Sio kweli mkuu, sema tuu huyo ameenda na mkono mtupu ambao haulambwi, atapigwa danadana mpaka akome
Hapa kajikoroga mwenyewe sio nssf.maama Sheria zao zipo wazi.japo ni kandamizi.NSSF again
Kuna mtu namfahamu alichukua hiyo 33.3 baada ya miezi kumi ya kufanya kungine kwisha akalambishwa 50 per kwa sababu hakufikisha miezi 18. Alichowmbiwa angefikisha miezi 18 angelamba ela yake yote.Ndivyo sheria Yao inavyosema.ukishaingia mfumo wa 33.3 hautoki.yaani kila ukipata ajira sehemu nyingine mfumo ni huo huo hyo rushwa unampa nani akutoe kwenye mfumo?
Bado ni utesaji.sioni msaada wa mifuko hii.pesa yangu hata nikichukua Leo nikaimaliza Leo SIWEZI Kuja nssf kuwaomba msaada Kwa hyo Haina haja wao kunionea hurumaKuna mtu namfahamu alichukua hiyo 33.3 baada ya miezi kumi ya kufanya kungine kwisha akalambishwa 50 per kwa sababu hakufikisha miezi 18. Alichowmbiwa angefikisha miezi 18 angelamba ela yake yote.
Ili uipate yote inatakiwaje mkuu?Hapa kajikoroga mwenyewe sio nssf.maama Sheria zao zipo wazi.japo ni kandamizi.
PESA yako lakini Bado ina mzunguko.
Ukae miezi 3.bila kuwa na kazi ya kuwekewa Hela nssf.furaha Yao wanataka wakuone unateseka miezi 3 bila kazi ndo uanze mchakato wa kuomba mafao yakoIli uipate yote inatakiwaje mkuu?
Na vipi baada ya hiyo miezi 3 kuipata ni uhakika au ni kudra?Ukae miezi 3.bila kuwa na kazi ya kuwekewa Hela nssf.furaha Yao wanataka wakuone unateseka miezi 3 bila kazi ndo uanze mchakato wa kuomba mafao yako