NSSF yauza Dege Eco Village Kigamboni kwa bilioni 501, mnunuzi afichwa

Dola wakati huo bei gani na sasa bei gani?
 
Kama sio makamba basi mwigulu ndo aliyeuza bila shaka
 
USD220m sio sawa na TZS 50b ni zaidi
 
Hivi mbona nchi zilizoendelea vitu vinafanyika kwa uwazi sana.

Njoo huku sasa, mikataba siri, uwekezaji kama ule mnunuzi anafichwa. Hatuwezi kufanya mambo kwa uwazi tu, kama mlifanya mchakato kwa siri basi hata kusema tu aliyefanikiwa.

Utakatishaji fedha hauwezi kutuacha salama. Nahakika ni mafisadi tu baada ya kuzichanga kwa haraka wameamua kujimilikisha hilo eneo.

Hata hiyo bei bado inatia mashaka sana, subirieni matokeo ya hilo eneo ndani ya muda mfupi hapo. Nchi ya janja janja sana hii.
 
Safi sana ,weendeleze Sasa huu mradi maana Jiwe alisababisha hasara nyingi sana kwenye miradi ya mashirika ya Umma.
 
Ndio Afrika hiyo maana unaweza Kuta hata hizo pesa hazipo ila watu wamejikopesha 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…