FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Umafahamu kwamba NSSF ilitumia Trillion 5 kwenye huo mradi halafu wanadanganya ni Bilioni 330?Ni jambo jema kama amepatikana mmiliki mpya. Sema tu hawana sababu ya kumficha huyo mnunuzi. Maana ni suala tu la muda kabla hajafahamika rasmi.
Hizo hesabu umezitoa wapi Mzee?Umafahamu kwamba NSSF ilitumia Trillion 5 kwenye huo mradi halafu wanadanganya ni Bilioni 330?
Ni Waarabu wetu weusi wa humu humu ndani wakiwa na koti la DPWNi wale wale wa Dubai?
AIM7ARL1ZTJ Imethibitishwa. Tsh50.00 imetolewa kwenye akaunti yako ya M-Pesa tarehe 22/9/23 saa 11:31 PM kama malipo ya huduma ya M-Pesa Songesha. Salio lako jipya la M-Pesa ni Tsh0.55. hatari na nusu🤠😂🤣Hatari thana...
AIP01SBV0DQ Imethibitishwa.Umepokea Tsh50.00 kutoka 219777 - M-PESA FAIDA tarehe 25/9/23 saa 12:39 AM Salio lako ni M-Pesa ni Tsh70.30.
Ata wafanyeje tutajua tu, hakuna siri Tanzania.Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umesema hadi Oktoba 31, mwaka huu utakuwa umekamilisha hatua zote za uuzaji wa Mradi wa Dege Eco Village kwa karibu Dola 220 milioni za Marekani (zaidi ya Sh501 bilioni). Mradi huo uliopo Kigamboni, Dar unapata mteja ikiwa ni baada ya ujenzi wake kusimama kwa zaidi ya miaka saba tangu Januari 2016.
Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Mshomba leo Septemba 25, 2023 amesema Mradi huo umeuzwa kama ulivyo bila kumtaja mnunuzi kutokana na taratibu kubana, ikiwa ni utekelezaji wa uamuzi wa Bodi ya Mfuko na Serikali ili kurudisha fedha za wanachama zilizowekezwa awali katika mradi huo.
Kwa mujibu wake, hadi uamuzi wa kuuzwa mradi huo unafikiwa tayari ulikuwa umeshatumia zaidi ya Sh330 bilioni huku akieleza kuwa kwa mnunuzi waliyempata watakuwa wamepata faida.
Hayana tija kwakoMmeshauriwa wekezeni Bandarini sio kujenga majumba yasiyo na tija, ujumbe kwenu Nssf
Samia mwenyewe akisafiri kwenda kwa wajomba Uarabuni ni kimya kimya tu ingawa anasafiria ndege yetu!Siku hizi tumeona njia ya kimya kimya, ndiyo nzuri! Si umeona hata kwenye ishu ya bandari na DP WORLD?
Kakague mahesabu ya kipindi yupo yule Mwizi Dau, hivi kama Zahanati ya vyumba vitatu huko vijijini wanajenga kwa Bilioni 3, unaamini mradi kama huo wajenge kwa bilioni 300?!Hizo hesabu umezitoa wapi Mzee?
Weka ushaidi anuwahi ikibidi tuingie mtaani.
Unapouza kitu huangalii ulinunua bei gani, unaangalia thamani ya hicho kitu leo,Nabado hasara ya Bil330 kukaa kwa miaka 8 bila kuwa kwenye mzunguko.
Huo mradi ulitangazwa unauzwa zamani sana, labda kama hukupeleka dau,Ni uamuzi mzuri.halafu ni mali ya umma ilipaswa itangazwe tender,mwenye interest ili wacompet
Ndio ujiulize, yule taahira Dau aliwaza kwa kutumia tumbo lake alipopeleka matrillion ya pesa za wanachama kule akijua afika bado sana kuweza kupata soko kwa kule.., kule pata changamka, ila nado decades to come.Ambacho najiuliza mradi ukikamilika kama tatizo la ajira ambalo ni kubwa sana je hauwezi kuwa ghost town huo mji hapo wangap wako tayari kuishi uko na bei wataimudu sababu ya sheria zetu wageni ni ngumu kununua
Ndio ujiulize, yule taahira Dau aliwaza kwa kutumia tumbo lake alipopeleka matrillion ya pesa za wanachama kule akijua afika bado sana kuweza kupata soko kwa kule.., kule pata changamka, ila nado decades to come.
Ushafika kwenye mradi vitu vingi vimeibwa vitu ngivi vimeharibikFaida tupu wallah.. Jamaa wanakuja kufanya finishing tuuView attachment 2761852View attachment 2761853
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni jambo jema lakini ni kweli hiyo bei ipo kwenye makaratasi kabisa?Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umesema hadi Oktoba 31, mwaka huu utakuwa umekamilisha hatua zote za uuzaji wa Mradi wa Dege Eco Village kwa karibu Dola 220 milioni za Marekani (zaidi ya Sh501 bilioni). Mradi huo uliopo Kigamboni, Dar unapata mteja ikiwa ni baada ya ujenzi wake kusimama kwa zaidi ya miaka saba tangu Januari 2016.
Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Mshomba leo Septemba 25, 2023 amesema Mradi huo umeuzwa kama ulivyo bila kumtaja mnunuzi kutokana na taratibu kubana, ikiwa ni utekelezaji wa uamuzi wa Bodi ya Mfuko na Serikali ili kurudisha fedha za wanachama zilizowekezwa awali katika mradi huo.
Kwa mujibu wake, hadi uamuzi wa kuuzwa mradi huo unafikiwa tayari ulikuwa umeshatumia zaidi ya Sh330 bilioni huku akieleza kuwa kwa mnunuzi waliyempata watakuwa wamepata faida.
Taahira ni wewe au?Ndio ujiulize, yule taahira Dau aliwaza kwa kutumia tumbo lake alipopeleka matrillion ya pesa za wanachama kule akijua afika bado sana kuweza kupata soko kwa kule.., kule pata changamka, ila nado decades to come.