NSSF yauza Dege Eco Village Kigamboni kwa bilioni 501, mnunuzi afichwa

kwa nini wewe usingekwenda kuzinunua? Zimekuwepo kwenye mnada kwa kipindi kirefu tu.
Acha kabisa
Kuongoza watanzania Kazi
Kuna uzi umeanzishwa kua Maharagwe chande ndie meneja Bora kuwahi kuongoza tanesco wakati walikua wanampopoa mawe
Hizi nyumba zimepigwa mnada muda tu, sidhani kama Kuna mtu alipeleka offer sahihi akaenguliwa
 
Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umesema hadi Oktoba 31, mwaka huu utakuwa umekamilisha hatua zote za uuzaji wa Mradi wa Dege Eco Village kwa karibu Dola 220 milioni za Marekani (zaidi ya Sh501 bilioni). Mradi huo uliopo Kigamboni, Dar unapata mteja ikiwa ni baada ya ujenzi wake kusimama kwa zaidi ya miaka saba tangu Januari 2016.

Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Mshomba leo Septemba 25, 2023 amesema Mradi huo umeuzwa kama ulivyo bila kumtaja mnunuzi kutokana na taratibu kubana, ikiwa ni utekelezaji wa uamuzi wa Bodi ya Mfuko na Serikali ili kurudisha fedha za wanachama zilizowekezwa awali katika mradi huo.

Kwa mujibu wake, hadi uamuzi wa kuuzwa mradi huo unafikiwa tayari ulikuwa umeshatumia zaidi ya Sh330 bilioni huku akieleza kuwa kwa mnunuzi waliyempata watakuwa wamepata faida.

Mrudishe viinua mgongo vyetu haraka! nyingine mnajikopesha, nyingine mnatengeneza miradi magumashi ya ulaji kama huu, nyingine mnakwiba na sasa mnatafuta za kuwalipa wenzi wa majizi viongozi.aisee tumekabidhi nchi majambazi ee mungu tusaidie!
 
Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umesema hadi Oktoba 31, mwaka huu utakuwa umekamilisha hatua zote za uuzaji wa Mradi wa Dege Eco Village kwa karibu Dola 220 milioni za Marekani (zaidi ya Sh501 bilioni). Mradi huo uliopo Kigamboni, Dar unapata mteja ikiwa ni baada ya ujenzi wake kusimama kwa zaidi ya miaka saba tangu Januari 2016.

Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Mshomba leo Septemba 25, 2023 amesema Mradi huo umeuzwa kama ulivyo bila kumtaja mnunuzi kutokana na taratibu kubana, ikiwa ni utekelezaji wa uamuzi wa Bodi ya Mfuko na Serikali ili kurudisha fedha za wanachama zilizowekezwa awali katika mradi huo.

Kwa mujibu wake, hadi uamuzi wa kuuzwa mradi huo unafikiwa tayari ulikuwa umeshatumia zaidi ya Sh330 bilioni huku akieleza kuwa kwa mnunuzi waliyempata watakuwa wamepata faida.

Mnunuzi hajafichwa ni MIMI HAPA KUDADEKI? 😯😯😯
 
Kwani kuna shida muarabu akiwekeza
Ukizingatia nssf ilishachotwa fedha ikabaki nyeupe na mafisadi awamu ya 5, hakuna sababu kutesa watumishi wanaosubiri haki zao, mradi uuzwe ili fedha za recovery zipatikane na lijisongeshe
-NAWAPONGEZA KWA HILO.
 
Kwa mujibu wake, hadi uamuzi wa kuuzwa mradi huo unafikiwa tayari ulikuwa umeshatumia zaidi ya Sh330 bilioni huku akieleza kuwa kwa mnunuzi waliyempata watakuwa wamepata faida.
What about hio ardhi ? Ni ekari ngapi na kwa market value ya leo ni Bei gani ? Haya mambo ya kuuziana vitu kwa bei za ajabu alafu tunaambiana kupata faida tunasahau hio ardhi ? Je ardhi ilikuwa mali ya nani kabla, waliinunua kwa kiasi gani na leo market value yake ni kiasi gani....
 
Unakaribishwa kwenda kununua ardhi kigamboni wahi sasa maneno hayakuwahi kusaidia lolote.
 
Nimesikitika NSSF imekoseshwa huu mradi,ila nimefurahi new vile umepata muendelezaji,Kigamboni itakua kama Dubai ndogo ndan ya DSM.
 
Akili inaniambia aliyenunua ni mwarabu....ndio maana mnunuzi kafichwa maana angesemwa ingezidisha maneno mtaani....ndio maana mwarabu anatetewa sana maana kanunua vingi...tuendelee mtori nyama zinaanza kuonekana...SASA KILICHOBAKI KILICHOPO MBELE NI BUNGE KUPITISHA SHERIA YA ARDHI ILI WAMILIKI KABISA IWE YAO.
Wao si ndiyo wanapesa

Ova
 
Atakua mwarabu,naona hawataki makelele ya Wala Bure wenye kinyaa na waarabu kule madhabahuni
Kwa hali hii basi na nyinyi mnatakiwa mlipie zile tende na nyama ya kondoo mnazopewa bure wakati wa mfungo, na pia sikukuu ya Eid.
 
Sisi sheikh na imam Wana shughuli zao za kuwaingizia vipato,na bado nao wanatoa zaka na sadaka,hao wako hawatoi wanakula tu,wanaume hawali kwa jasho Wala masista hawazai kwa uchungu...tunapigwa!!
 
Kwan vibaya? Hivi ingekua huko ulaya wana mind set mbov kama yetu wasingeuza timu zile kwa matajiri wa kiarabu. Nasema waarabu waje wanunue kila kitu kwan pesa wanayo
Uzuri wa nchi hizo kama Uingereza nk ni nguvu ya uchumi nchi yenyewe iliyokuwa nayo dhidi ya hao wawekezaji ambao ni wachache mno kuweza kuiyumbisha nchi wenyeji. Pili miundo mbinu Yao ya kiylizi na Kodi IPO vizuri , hivyo kuweka uiano mzuri Kati ya wawekezaji na wenyeji.
 
Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umesema hadi Oktoba 31, mwaka huu utakuwa umekamilisha hatua zote za uuzaji wa Mradi wa Dege Eco Village kwa karibu Dola 220 milioni za Marekani (zaidi ya Sh501 bilioni). Mradi huo uliopo Kigamboni, Dar unapata mteja ikiwa ni baada ya ujenzi wake kusimama kwa zaidi ya miaka saba tangu Januari 2016.

Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Mshomba leo Septemba 25, 2023 amesema Mradi huo umeuzwa kama ulivyo bila kumtaja mnunuzi kutokana na taratibu kubana, ikiwa ni utekelezaji wa uamuzi wa Bodi ya Mfuko na Serikali ili kurudisha fedha za wanachama zilizowekezwa awali katika mradi huo.

Kwa mujibu wake, hadi uamuzi wa kuuzwa mradi huo unafikiwa tayari ulikuwa umeshatumia zaidi ya Sh330 bilioni huku akieleza kuwa kwa mnunuzi waliyempata watakuwa wamepata faida.

Kwahiyo tumetumia Trillion 5 kujenga, halafu tunauza kwa bilioni 500?! 😅😅😅
 
Back
Top Bottom