NSSF yauza Dege Eco Village Kigamboni kwa bilioni 501, mnunuzi afichwa

NSSF yauza Dege Eco Village Kigamboni kwa bilioni 501, mnunuzi afichwa

Kama umeanza hizo mishe kitambo Kwa nini umeshindwa kununua hiyo dege?

Machadomo Kila kitu ni kupinga.Role model wenu huko Zambia ameanza kuweweseka,mara alakamike kupinduliwa nk

Wa Kenya haeleweki anachofanya probably atakuwa one term president.

Huko Ghana walikoshinda Wapinzani pamoja na Katiba Mpya Nchi imefilisika [emoji1787][emoji1787], Katiba Mpya imeshindwa kuleta ugali mezani Kwa watu.

Kiufupi Wapinzani hususani nyie ndio hata na sera na msiojua mnachosimamia ni watu wa hovyo sana.
Unaulizwa A unajibu C [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaulizwa A unajibu C [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya Samia nssf haikuwahi kuwa hivi ilivyo Leo 👇
20230926_063633.jpg
 
Waarabu hao wanakuja kuwekeza kwenye real estate
Kwan vibaya? Hivi ingekua huko ulaya wana mind set mbov kama yetu wasingeuza timu zile kwa matajiri wa kiarabu. Nasema waarabu waje wanunue kila kitu kwan pesa wanayo
 
Nyie endeleeni kuhoji mnunuzi kapatikanaje
Tena kwa jeuri ya hela ataipiga chini yote halafu aweke kiwanda
Huu mradi utakuwa una nyufa kibao kila jengo
Acha nitafute tenda ya demolitions tu
Hauna hata, nyufa zinatokeaje ilihali pale palibak kufamya finishing tu ya milango na madirisha.
 
Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umesema hadi Oktoba 31, mwaka huu utakuwa umekamilisha hatua zote za uuzaji wa Mradi wa Dege Eco Village kwa karibu Dola 220 milioni za Marekani (zaidi ya Sh501 bilioni). Mradi huo uliopo Kigamboni, Dar unapata mteja ikiwa ni baada ya ujenzi wake kusimama kwa zaidi ya miaka saba tangu Januari 2016.

Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Mshomba leo Septemba 25, 2023 amesema Mradi huo umeuzwa kama ulivyo bila kumtaja mnunuzi kutokana na taratibu kubana, ikiwa ni utekelezaji wa uamuzi wa Bodi ya Mfuko na Serikali ili kurudisha fedha za wanachama zilizowekezwa awali katika mradi huo.

Kwa mujibu wake, hadi uamuzi wa kuuzwa mradi huo unafikiwa tayari ulikuwa umeshatumia zaidi ya Sh330 bilioni huku akieleza kuwa kwa mnunuzi waliyempata watakuwa wamepata faida.

Tangu Dau atolewe mirad mingi ilisuasua shirikan
 
Achilia mbali kufichwa, lakini je huyo mnunuzi alipatikanaje?
Mkuu umeuliza swali la msingi sana , manunuzi na mauzo ya kiserekali naamini yanakuwaga kwa uwazi na matangazo ktk sehemu husika.
 
Back
Top Bottom