NSSF yauza Dege Eco Village Kigamboni kwa bilioni 501, mnunuzi afichwa

NSSF yauza Dege Eco Village Kigamboni kwa bilioni 501, mnunuzi afichwa

Kwa hyo tuseme TANZANIA [emoji1241] KUNA PESA NYINGI TU DU HIVYO KUMBE MAAANA WATU WANACHOTA MAPESA NA BADO YAPO
Pesa za umma zinafanyiwa misappropriation.

Wewe unaona ni nyingi kwa sababu zimefanyiwa matumizi ya mara moja kwa mkupuo ila sio nyingi sababu zimekuwa pooled sehemu moja tu

Na ukipigia hesabu pesa hiyo ingetatua changamoto ya maji maeneo mangapi yenye shida so hakuna pesa nyingi hapo.
 
Kuna yule Azimio aliingia ubia na NSSF na kuithaminisha ardhi iliyotumika kwa bei ya kuruka mpaka akaingia kwenye ripoti za CAG, wamemalizanaje? Maana hisa zake zilikuwa 55%
Uko sahihi.
Huu ni mradi wa Ubia kati ya NSSF na Azimio Holdings (inayomilikiwa na Baghdad).
Nafikiri (🤔🤔) wanaficha mnunuzi kwa sababu wanaona aibu kusema kuwa Baghdad ameamua kuumiliki huo mradi kwa asilimia 100 kwa kununua Hisa za NSSF.
This is my educated guess!
 
Hatari thana...
AIP01SBV0DQ Imethibitishwa.Umepokea Tsh50.00 kutoka 219777 - M-PESA FAIDA tarehe 25/9/23 saa 12:39 AM Salio lako ni M-Pesa ni Tsh70.30.
Salio lako jipya ni TSh 112. Umepokea TSh 4 kutoka kwa TIGO GAWIO, Kumbukumbu No.: 13760462126. 25/09/23 00:06. Tigo Pesa ni zaidi ya Pesa!🥱🥱🥱
 
Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umesema hadi Oktoba 31, mwaka huu utakuwa umekamilisha hatua zote za uuzaji wa Mradi wa Dege Eco Village kwa karibu Dola 220 milioni za Marekani (zaidi ya Sh501 bilioni). Mradi huo uliopo Kigamboni, Dar unapata mteja ikiwa ni baada ya ujenzi wake kusimama kwa zaidi ya miaka saba tangu Januari 2016.

Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Mshomba leo Septemba 25, 2023 amesema Mradi huo umeuzwa kama ulivyo bila kumtaja mnunuzi kutokana na taratibu kubana, ikiwa ni utekelezaji wa uamuzi wa Bodi ya Mfuko na Serikali ili kurudisha fedha za wanachama zilizowekezwa awali katika mradi huo.

Kwa mujibu wake, hadi uamuzi wa kuuzwa mradi huo unafikiwa tayari ulikuwa umeshatumia zaidi ya Sh330 bilioni huku akieleza kuwa kwa mnunuzi waliyempata watakuwa wamepata faida.

JPM alibugi pale kuzuia uendelezwaji wake
 
Sasa gharama ya ujenzi ni finishing au hata nyumba huna? [emoji16][emoji16]
. technically hapo lazima iwatoke zaidi ya bil.500 nyingine ila Kwa kuwa ni uwekezaji italipwa mdogo mdogo
Kama hujaelewa uliza basi chawa.. Mimi sio mshamba wa ujenzi nimeanza hizo mishe hata kabla hujazaliwa jombaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hujaelewa uliza basi chawa.. Mimi sio mshamba wa ujenzi nimeanza hizo mishe hata kabla hujazaliwa jombaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umeanza hizo mishe kitambo Kwa nini umeshindwa kununua hiyo dege?

Machadomo Kila kitu ni kupinga.Role model wenu huko Zambia ameanza kuweweseka,mara alakamike kupinduliwa nk

Wa Kenya haeleweki anachofanya probably atakuwa one term president.

Huko Ghana walikoshinda Wapinzani pamoja na Katiba Mpya Nchi imefilisika 🤣🤣, Katiba Mpya imeshindwa kuleta ugali mezani Kwa watu.

Kiufupi Wapinzani hususani nyie ndio hata na sera na msiojua mnachosimamia ni watu wa hovyo sana.
 
Back
Top Bottom