NSSF yazidi kuumbuka: Ufisadi wa ujenzi wa Hoteli Mwanza, jengo la biashara Mzizima

Dau si jipu.Ni saratani ya ubongo hii.
Utashangaa anapewa adhabu ya kwenda kufanya usafi Palestina hospitali.
 
Balozi apelekwe Keko akasubiri Mahakama inayoundwa....
 


Rungu gan sasa?

Kama magufuli alikuwa anajua uhusika wa Dau kwenye hayo madudu angemtumbua na kumwajibisha...

Iweje sasa amteue kuwa diplomat?

Magufuri ndiyo kusema anamwogopa Dau?hata akili hutumiii..how old are you?...

JF hii nowdays imebadilika usikute ninachart na mtoto wa form four failure hapa...
 
Dau si jipu.Ni saratani ya ubongo hii.
Utashangaa anapewa adhabu ya kwenda kufanya usafi Palestina hospitali.

Ha ha ha

Na hicho ndicho kilichobakia...

Mmeshindwa kusimamia kwenye fact na ushahid mmebaki kupiga ramli siyo...
 
Yaani huyu Alhaji Dr Dau pamoja na kujenga msikiti ofisini bado alikuwa ana tabia mbaya hivi? Kumbe hata huko Macca watu wanaenda kutalii tuu na sio kutubu na kuwa watu wema.
ulishawah kulawitiwa siku za nyuma?..huo msikiti alioujenga pale nssf upo upande gani?..kandarasi ya ujenzi alipewa nani?
 
We nguruwe huwezi kuwa mjanja moja kishule,pili kikipato tatu kimaisha,nasema dau mwizi na atafungwa mlivitumia vigazeti vyenu akhuda na alnur eti nchi imetikisika kisa firauni dau kaondolewa Nssf,sasa mlilalama nini kama akipewa u diplomat,huo udiplomat ukishaijua wanaenda wapi kuwa balozi,jipuuuuu
 
huyu jamaa anaeitwa dau, kama uteuzi haujatenguliwa kufikia ijumaa atakuwa na bahati ya mtende kuota jangwani, sion dalili za yy kuendelea kuwa balozi mpaka sasa...

asee kumbe chenge na ufisadi wake hafikii kwa hyu mtu... huenda ndo maana aliita vijisent, binafsi skumuelewa bila shaka hata ww hukumuelewa, lakin kwa mlinganyo huu, asee kwel vile ni vijisent..
 
kama Dau hajatumbuliwa basi hata akina masamaki wameonewa na walipwe fidia kwa kuzalilishwa.
 
ni kweli mkuu kwa maisha yetu ya moshi kwa zile kodi za pale amna atakayethubutu kukodi hata sqm moja
kwa ajili ya biashara na mda si mrefu litakuwa gofu
 
ulishawah kulawitiwa siku za nyuma?..huo msikiti alioujenga pale nssf upo upande gani?..kandarasi ya ujenzi alipewa nani?
Mheshimiwa sana Inama ni kusweke mbona lugha yako sio ya hapa Jukwaani? Au unajitangazia biashara? Nenda kule jukwaa na matangazo madogo madogo kajitangaze.
 
Nawewe unakubali kuwa yeye Dau anaweza tambua hilo kuwa heka moja inauzwa million mia nane kisha nayeye atoe idhin?

Ha ha ha Dr Dau is smarter than that.
Kuna sababu gani yakuwepo DG
 
Kwa jinsi ninavyojua usiri wa rais wetu hii ripoti ya mwananchi inatia shaka na imekaa kwa misingi ya wewe umemwaga mboga mi namwaga ugali, tusubir ripoti halisi maana kama kuna mtu kalipwa ili amchafue mtu vile!!!
hii imetoka kitengoni kama preemptive strategy....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…