NSSF yazidi kuumbuka: Ufisadi wa ujenzi wa Hoteli Mwanza, jengo la biashara Mzizima

teh teh ndo nimeanza kuelewa maana ya vijisenti

kuna watu matajiri sana tz
 
Sijaelewa hiyo bilioni 16 imezidishwa kivipi kutokana na hayo mahesabu hapo juu? Jengo lilikuwa ligharimu bilioni 8 wakaongeza 16 lika gharimu bilioni 24?
 

DAU jambazi kabisa..
 
Jamaa ni zaidi ya Jizi akamatwe tu, kwani baba zetu wametesekea mafao wakati kuna watu wanatumbua fedha zetu tu.
 
Mimi nasubiria la chuo kikuu cha UDOM na kampuni ya Derm + sefue, kama tetesi zinavyosema

Naona Jamaa anazidi kufondosha Maghorofa hapa town, Derm anafanya kazi gani?
 
Itakuwa ngumu maana CAG ni muislamu na Dr. Dau ni muislamu pia. Hoja ya kugandamiza uislamu haipo tena. Ufisadi hauna dini, kabila wala itikadi.

Assad hawezi peleka report mbaya ya dau kwa jpm,na wabunge hawataongea kitu kuhusu dau maana kawapa mikopo minono December 2015,magufuli ni kutumia vijana wa TISS na TAKUKURU kumfukunyua huyu nyangumi wa ufisadi
 
Bilioni 16 imeingiaje hapa?
 
taarifa za upande mmoja.
tusubiri.

 
Hiyo pesa ni nyingi sana, siyo ajabu imetumika kupiga kampeni
Mbona hii thread haieleweki?
Sioni rosa la Dau?
Dr Dau haandamwe kwa makosa ya kweli lakini siyo haya?
 
Watanzania tuna matatizo macuba sana! Tunapenda kurukia mambo bila kuelewa na mfano hai ni hii thread!

Kwa tabia kama hizi mafisa hatuwapati ng'o!
 
Assad hawezi peleka report mbaya ya dau kwa jpm,na wabunge hawataongea kitu kuhusu dau maana kawapa mikopo minono December 2015,magufuli ni kutumia vijana wa TISS na TAKUKURU kumfukunyua huyu nyangumi wa ufisadi

Inafika mahali lazima Prof. Assad afanye kweli vinginevyo ataumbuka. Kuna vitu vipo wazi lazima aviseme kama anajali kazi yake. Pia ataelewa kwamba JPM atapata taarifa hizo kwa njia nyingine hivyo hana cha kuficha.

Si kwamba TISS haikuwa ikifanya kazi zake bali ilikuwa inapuuzwa. Sasa la mgambo limepigwa na TISS wamepewa nafasi yao!
 
Naona Jamaa anazidi kufondosha Maghorofa hapa town, Derm anafanya kazi gani?[/QUOTE]
Binafsi nilijua derm amefanikiwa kwenye fast food ndio hadi kujenga maghorofa, kweli usilolijua ni kama usiku wa giza.
 
Jamaa ni zaidi ya Jizi akamatwe tu, kwani baba zetu wametesekea mafao wakati kuna watu wanatumbua fedha zetu tu.
Hunaposema akamatwe ni kwamba una maanisha alifanya ufisadi kwenye huu mkataba. Kosa lake ni lipi wakati kilichoandikwa hapo juu aki-make sense!
 
Mbona kimya tena dada,

Umefungua uzi halafu umeulizwa swali katakana na huh uzi hauonekani tena?!
 
Kwa jinsi ninavyojua usiri wa rais wetu hii ripoti ya mwananchi inatia shaka na imekaa kwa misingi ya wewe umemwaga mboga mi namwaga ugali, tusubir ripoti halisi maana kama kuna mtu kalipwa ili amchafue mtu vile!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…