NSSF yazidi kuumbuka: Ufisadi wa ujenzi wa Hoteli Mwanza, jengo la biashara Mzizima

Kiongozi kukaa madarakani kwa zaidi ya miaka kumi na hasa kwenye hizi taasisi za kifedha hujiona yeye ndio taasisi na taasisi ndio yeye hata kuwa na hofu yoyote anapo amua kufanya jambo,bado sasa kwenye Daraja maana kule mpaka Wachina wali mjengea shule Kigamboni na zile ziara za UK,Arabuni sijui kama hakuna maslahi huko.
 
Lakini hawa wapigaji ndio wafadhili wakuu wa ccm kipindi cha uchaguzi, tunasema hayaaaaaaaa.
 
NSSF tena maana jana walitoa single ya kununua ekari moja kwa 1.8bil kule Arumeru hii ya mwanza mpya.
Naona mwananchi wameamua kutupia issue za NSSF kama episode vile.
Dr Dau kama haya ni kweli umefuja ela ya walalahoi
 


Hizo data ziko wapi?

Na uko wapi ushahid wa kuhusika kwa Dr Dau katika hiko ulichokieleza?

Kwa maana inaonekana mada yoote na hizo taarifa lawama mnataka kuzipeleka kwa Dr Dau...kivip sasa...

Kuwa DG si kigezo cha kupewa lawama shirika liko chini ya board na hata hivyo uthibitisho hakuna...

Mfano katika sakata la Escrow na Tanesco pamoja na kuhusika kwa malipo hewa ya shirika lile na wizi mkubwa kama ule why DG wa Tanesco kwa mfano hamkumpa lawama kama hizo?

Its just a matter of time...kila kitu kitakuwa revield
 
Sio mbaya kwani sasa ni zamu yao kuishi kama shetani
 
Huko ndio kumejaa uoza wa kufa mtu,
 
Ushahid ukowapi kwamba Dr Dau kahusika au kachota pesa kutokana na hizo taarifa hapo juu. Kwa mfano.

Hebu funguka...au ushahid wa hiyo picha ya daraja ndiyo tosha kuthibitisha hizo shutuma zilizoandikwa?
 
hapa kwenye hili la Dau kuna chain ndefu,kuna mazito makubwa tunaweza yasikia.hata Magu anaweza kushindwa kutumbua hili jipu,maana kuna watu atawaonea haya
Maneno yako hayana chembe ya shaka alipata ujasiri mahali flani.
 
Aende na huko ubalozini akaibe tena.

Kabla ya kwenda huko ubalozin kwanza hebu tuambie katika hili yeye kahusika vip na wizi huo?

Wapi pameandikwa kuwa yeye kachukua kias flan cha pesa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…