John W. Mlacha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 3,504
- 1,343
Kwa hio wewe una akili nyingi kuliko Alhaji Profesa Assad??Wewe lazima utakuwa na akili ya kijinga na akili ya kichandudoa tuh
Mtu mwenye akili timamu ataweza vip amin taarifa eti kwamba watu wanaweza nunua hekari moja kwa shilling million 800?na ukiwaomba ushahid wanaweka picha ya daraja?kama siyo wehu ni kitu gan
Kwa ufisadi huu wa Dau hata Chenge ni mtakatifu....
Siyo kama imeliwa kichwa cha habari kilipaswa kiwe Dau alivyoinywa NSSF kwani hiyo ni michongo tu.Labda zilienda kwenye kampeni wapi katibu mkuu wetu?Kwa kashfa hizi, watetezi wa Dr Dau washaumbuka, maana tuliambiwa hakuna mtu wa kuziba pengo lake, kumbe siri ni upigaji deal tuuu.
=> Ujenzi wa hoteli Mwanza, kampuni mbili zapewa mabilioni kwa kazi zile zile
=> Mkandarasi wa ujenzi wa jengo la Biashara la Mzizima azidishiwa malipo.
=> Ujenzi wa hoteli ya kitalii Mwanza, wakandarasi walizidishiwa zaidi ya Bilioni 16 sawa na asilimia 23 ya mradi wote bila sababu za msingi.
=> Kuhusu ujenzi wa jengo la biashara Mzizima Tower ni kwamba kampuni tatu ziliomba mradi huo ambazo ni Atlas, Ginde na Jandu ambayo ilishinda.
Wataki wa kuwasilisha maombi ya zabuni ya Jandu ilikuwa sh. 8,346,155,654 lakini kamati ya Tathmini iliketi na kupitia upya mkataba na kubaini makosa hivyo ilirekebisha zabuni hiyo isomeke 8,340,700,710.94 pamoja na ongezeko la Thamani (VAT). Jandu aliridhia marekebisho hayo.
Pamoja na marekebisho hayo, mkataba waliosainiana kati ya NSSF na Jandu ulikuwa wa kiwango kile kile kilichokosewa cha sh. 8,346,155,654 chenye ziada ya sh. 5,454,943.
Ina maana kikwete na dau wamepata elimu ya parokia ndio maana yakawa majizi ya kutisha?Elimu ya madrasa ni basic na elementary kwangu.
Ni fahari yangu kubwa mimi kuwa na elimu hiyo...
Siwez kujigamba na elimu ya parokia ambayo siku zoote imekua inazalisha wasomi wezi na wahujum wa taifa hili tokea lipate uhuru wake hadi leo hii
Kunyea debe kwa porojo hizo eti kwamba shirika limenunua ekari moja kwa million mia nane?
Au kwa ushahid wa hizo picha za daraja la kigamboni?
Teh teh teh..stupid nchi hii wajinga hamuwezi kwisha
Kwa hio wewe una akili nyingi kuliko Alhaji Profesa Assad??
Kwanza jina lako tu magumashi.. Isis na cia wapi na wapi.. Ndio sheikhe alivyokumezesha hivyo?Wewe
Sasa hivi umeshamuelewa sio?Ndio maana mimi huwa najiuliza sana huyu JPM kila wakati yeye anahitaji tumwombee iweje huku kazungukwa na vyombo chungu nzima vya ulinzi na usalama kumbe hii vita sio ya mwili na nyama imekaa kiulimwengu wa roho zaidi,wezi wa namna hii watatumia nguvu za giza kujilinda na kupambana.
Eti "Farewell to Arms" au "Farewell to stealing"!!! kumbe ufisadi mtupu! Wako wapi wale watetezi wa Dau?!
Kwanza jina lako tu magumashi.. Isis na cia wapi na wapi.. Ndio sheikhe alivyokumezesha hivyo?
Mara nyingi lugha anayotumia mtu inaakisi haiba, weledi, uzoefu, makuzi na uwezo wa kufikiri wa mtu husika?! Subiri uone Balozi wa "Tanzania nchini Tanzania" kama hatabeba mtondo kama Kitillya siku chache zijazo! Kutumia lugha hasi na matusi ni dalili za kushindwa hoja, yaelekea wewe ni suruali fupi kama "Balozi wa Tanzania nchini Tanzania"; ukweli tutausema; kama hutaki meza chupa!Tatizo mnaongea kama mnajinyea.
Tunachotaka ni nyinyi kuweka hapa kila data inayoonesha ufisadi wa Dau hapo Nssf badala yake mmebakia na maneno matupu yasiyo na ushahid kama haya ya gazeti la mwananchi ya ekari moja kwa sh million 800...
Teh teh teh
Sasa mtatoaje tuhuma bila ushahid?
Mnakuwa kama manyumbu
Kwa kashfa hizi, watetezi wa Dr Dau washaumbuka, maana tuliambiwa hakuna mtu wa kuziba pengo lake, kumbe siri ni upigaji deal tuuu.