Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,256
- 44,597
Teh teh teh..
Awajibike kivip sasa..wapi pameandikwa kuwa yeye ndie kaiba?
Ushahid uko wapi...weka ushahid kisha utoe hukumu.
Unaongea kama cherehan mbovu
huoni hata aibu kutetea huu uwizi?Inawezekana Dau hakuwa anajua lolote lililokuwa linaendelea. Watu wa chini yake walikuwa wanafanya haya mambo au na yeye alifanya kwa good faith akiamini anasimamia vizuri mfuko na maslahi ya wenye mfuko. Na labda ana maelezo ya kutosha tu ya madai yaliyotolewa.
Haya maelezo yako ni mazuri japo ni kutaka kutushawishi kuwa siku moja atatokea mtu akiri hadharani kuwa 'mimi niliomba na kupokea rushwa'!Inawezekana Dau hakuwa anajua lolote lililokuwa linaendelea. Watu wa chini yake walikuwa wanafanya haya mambo au na yeye alifanya kwa good faith akiamini anasimamia vizuri mfuko na maslahi ya wenye mfuko. Na labda ana maelezo ya kutosha tu ya madai yaliyotolewa.
Cha ujinga wewe board wanaidhinisha tu mambo ambayo wamepelekewa na DG isitoshe hadi board yao aliiwekwa mfukoni walijengewa mazingira ya kuvuta mpunga na kufungwa midomo,kama mnapelekwaa Dubai nk kwa vikao vya kawaida mdomo si utakuja na mda wote itakuwa unaufunga kuogopa harufu isisambae,huyu dau ana kibri sana hata mawaziri walikuwa wanaonekana watu wa hovyo kwake hayo yalimkuta hata rais wetu kipenzi JPM,sasa rungu analo dau atashaaHizo data ziko wapi?
Na uko wapi ushahid wa kuhusika kwa Dr Dau katika hiko ulichokieleza?
Kwa maana inaonekana mada yoote na hizo taarifa lawama mnataka kuzipeleka kwa Dr Dau...kivip sasa...
Kuwa DG si kigezo cha kupewa lawama shirika liko chini ya board na hata hivyo uthibitisho hakuna...
Mfano katika sakata la Escrow na Tanesco pamoja na kuhusika kwa malipo hewa ya shirika lile na wizi mkubwa kama ule why DG wa Tanesco kwa mfano hamkumpa lawama kama hizo?
Its just a matter of time...kila kitu kitakuwa revield
Inawezekana Dau hakuwa anajua lolote lililokuwa linaendelea. Watu wa chini yake walikuwa wanafanya haya mambo au na yeye alifanya kwa good faith akiamini anasimamia vizuri mfuko na maslahi ya wenye mfuko. Na labda ana maelezo ya kutosha tu ya madai yaliyotolewa.
Kabla ya kwenda huko ubalozin kwanza hebu tuambie katika hili yeye kahusika vip na wizi huo?
Wapi pameandikwa kuwa yeye kachukua kias flan cha pesa?
Mkurugenzi asijue kuwa Eka 1 imenunuliwa kwa 800ml?Inawezekana Dau hakuwa anajua lolote lililokuwa linaendelea. Watu wa chini yake walikuwa wanafanya haya mambo au na yeye alifanya kwa good faith akiamini anasimamia vizuri mfuko na maslahi ya wenye mfuko. Na labda ana maelezo ya kutosha tu ya madai yaliyotolewa.
Namwaminia kamanda wa TAAKUKURU hapo ujue anamvutia pumzi mtu ili ajiandae kununua ndoo za kwenda nazo lupango. Huyu jamaa yaelekea alikuwa noma. Mara tuambiwe ati alinunua ardhi kwa thamani ya milioni 800 kwa hekta, mara huko Arusha alinunua ardhi kwa zaidi ya bilioni moja kwa hekta. Kina Mramba waliponzwa na matumizi mabaya ya ofisi, haya ya NSSF ni zaidi ya matumizi mabaya ya ofisi, sasa wataponaje. Kamanda mguu upande mguu sawa, mbele tembea ingia kazini.Kumbe tngelianza kuifanyia kazi kauli ya vijisent tangu alipoisema tungelikuwa tumeshamuelewa alichomanisha.
Hebu angalia dili la escrow yeye alikuwa na 1.6b lakini kuna watu wasiojulikana wana zaidi ya 250b, dili la rada alikuwa na 1.2b wakati wenyewe walikula 45b. Sasa angalia hawa wanaongelea trillions, rekodi mpya katika ufisadi wa nchi hii alafu unasema eti mapengo yao hayazibiki, mara tutawakumbuka.
Hivi nchi inawezaje kumsahau mtu anayekwapua pesa ambazo ni zaidi ya 30% ya makusanyo ya hazina kwa mwaka!?
Ushahid ukowapi kwamba Dr Dau kahusika au kachota pesa kutokana na hizo taarifa hapo juu. Kwa mfano.
Hebu funguka...au ushahid wa hiyo picha ya daraja ndiyo tosha kuthibitisha hizo shutuma zilizoandikwa?
Haya maelezo yako ni mazuri japo ni kutaka kutushawishi kuwa siku moja atatokea mtu akiri hadharani kuwa 'mimi niliomba na kupokea rushwa'!
Nilichoona kwa jirani zetu Kenya recently ni kuwa baada ya kuizoea rushwa na kugundua kuwa haiwezi kuwasaidia wametengeneza mfumo mzuri wa uwajibishanaji. Sina uhakika kama unawagusa wote lakini juzi juzi niliona wanatrack pesa zilizoibiwa kwenye mfuko wa vijana kwenye accounts za watu na hata apartments zilizonunuliwa kwa pesa hizo na kuzitaifisha.
Anaweza kuwa anajua bei lakini asijue kuwa ndio wameingizwa mjiniMkurugenzi asijue kuwa Eka 1 imenunuliwa kwa 800ml?
Ritz & faiza foxy mpo wapi leo!
Mkuu mkurugenzi mkuu ndio anae idhinisha deals zote za shirika so dau hana pa kutokea habar ndio hiyoo
Namwaminia kamanda wa TAAKUKURU hapo ujue anamvutia pumzi mtu ili ajiandae kununua ndoo za kwenda nazo lupango. Huyu jamaa yaelekea alikuwa noma. Mara tuambiwe ati alinunua ardhi kwa thamani ya milioni 800 kwa hekta, mara huko Arusha alinunua ardhi kwa zaidi ya bilioni moja kwa hekta. Kina Mramba waliponzwa na matumizi mabaya ya ofisi, haya ya NSSF ni zaidi ya matumizi mabaya ya ofisi, sasa wataponaje. Kamanda mguu upande mguu sawa, mbele tembea ingia kazini.
Kwa kashfa hizi, watetezi wa Dr Dau washaumbuka, maana tuliambiwa hakuna mtu wa kuziba pengo lake, kumbe siri ni upigaji deal tuuu.
=> Ujenzi wa hoteli Mwanza, kampuni mbili zapewa mabilioni kwa kazi zile zile
=> Mkandarasi wa ujenzi wa jengo la Biashara la Mzizima azidishiwa malipo.
=> Ujenzi wa hoteli ya kitalii Mwanza, wakandarasi walizidishiwa zaidi ya Bilioni 16 sawa na asilimia 23 ya mradi wote bila sababu za msingi.
=> Kuhusu ujenzi wa jengo la biashara Mzizima Tower ni kwamba kampuni tatu ziliomba mradi huo ambazo ni Atlas, Ginde na Jandu ambayo ilishinda.
Wataki wa kuwasilisha maombi ya zabuni ya Jandu ilikuwa sh. 8,346,155,654 lakini kamati ya Tathmini iliketi na kupitia upya mkataba na kubaini makosa hivyo ilirekebisha zabuni hiyo isomeke 8,340,700,710.94 pamoja na ongezeko la Thamani (VAT). Jandu aliridhia marekebisho hayo.
Pamoja na marekebisho hayo, mkataba waliosainiana kati ya NSSF na Jandu ulikuwa wa kiwango kile kile kilichokosewa cha sh. 8,346,155,654 chenye ziada ya sh. 5,454,943.