Ntafuta mke mwema asizidi miaka 33

Nianze dayati maana wachumba hawataki matukunyemaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Kama ana mtoto wasizidi wawili
Mwanaume unaanzaje kulea mabao ya wenzako?

Hebu acha ujinga, Achana na Single Maza.

Ninyi ndio mnakuja kutia tia huruma humu kuanza kuomba ushauri mkisha yakanyaga.

Tunasisitiza na tutazidi kusisitiza.

Kataa single maza.

Single Maza ni mke wa mtu.

Huwezi kulea wake za watu..!!!

Wake up Gentleman!!

Hatutaki uje ulie lie humu kuomba ushauri
Asiwe mfupi sana asiwe mnene
Elimu yoyote
Awe anajishughulisha
Awe tayari kuwa mke na kuwa mama watoto wangu

ALIYE KIDHI VIGEZO ANITUMIE UJUMBE 0713861567

MUNGU AWABARIKI
 
30 unatafuta mke mtandaoni, Tanzania, mjasiriamali, tena upo korogwe,,,aaaanh ndugu yangu. Jambo la kheri kutafuta mke mwema. Ila unampata kwa characters zako chache tu ulizozitaja, huku tutakukatisha tamaa.
 
Sema hili nalo neno ,Je akiwa na hera😒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…