Habari naitwa steven kwasasa nipo dar kimara korogwe nimekuja kwenu natafuta mwenza ambae akiwa tayari aje kuwa mke.
Umri wangu miaka :30
Kabila :mngoni
Dini:mkristo
Elimu yangu kidato channe
:shughuli mjasiliamali
Sijawahi kuoa pia bado sina mtoto
Rangi maji ta kunde
Urefu futi 5:9
SIFA ZA NINAEMTAFUTA
umri miaka isizidi 33 isipungue 25
Kabila lolote
Dini yoyote
Kama ana mtoto wasizidi wawili
Asiwe mfupi sana asiwe mnene
Elimu yoyote
Awe anajishughulisha
Awe tayari kuwa mke na kuwa mama watoto wangu
ALIYE KIDHI VIGEZO ANITUMIE UJUMBE 0713861567
MUNGU AWABARIKI