Ntibanzokinza: Yanga ni klabu ya kienyeji

Ntibanzokinza: Yanga ni klabu ya kienyeji

Hii thread haina shida, zile za kijinga napigilia nyundo!

Mfano mtu anauliza ndege zinanunuliwa kwa ajili ya nini?

Thread kama hiyo napigilia nyundo pamoja na wachangiaji sababu inajulikana ndege zinanunuliwa kwa ajili ya kusafirisha abiria pamoja na mizigo.
Maiti ipo kundi gani?
 
1627765198002.png
1627765257865.png
 
Wakae chini waitengeneze timu na mfumo mzuri wa uongozi, hii style ya kusajili wachezaji kwa pupa kutoka AS Vita na sijui wapi huko ili washindane na simba haiwasaidii sana.
So jlitaka wasajili kutoka timu ipi? Majimaji ya Songea? Au
 
ACHA kujizima data wewe, ulikua unapayuka sana jana kuhusu 20B za mo .. leo hii mchezaji wenu mwenyewe kawaumbua kuwa hamna uongozi unaoeleweka .. tulieni dawa iwaingie ..
Mbona ninyi wote mnampigia magoti Manara asisema anachotaka kusema? Mnaogopa nini?
 
Mbona ninyi wote mnampigia magoti Manara asisema anachotaka kusema? Mnaogopa nini?
Nani aliyempigia magoti ?? .. tulimpa go ahead aseme anachotaka, baada ya kuona mashabiki wamempotezea akaona asitishe kwa visingizio eti amepokea simu nyingi [emoji23][emoji23] ..
 
Nani aliyempigia magoti ?? .. tulimpa go ahead aseme anachotaka, baada ya kuona mashabiki wamempotezea akaona asitishe kwa visingizio eti amepokea simu nyingi [emoji23][emoji23] ..
Wewe umejuaje hakupokea Simu nyingi? Uzuri aliwataja hadi baadhi ya wahusika mbona hawakukanusha?
 
Hii taarifa yako umeiokotea wapi?

Screenshot_2021-08-01_112808.jpg
 

Attachments

  • VID-20210801-WA0004.mp4
    4.4 MB
Mwamba kafunguka mara baada ya kutemana na Yanga, Wana Yanga msijifiche kwenye stori za Bilioni 20 za Mo, kwanini klabu yenu inaendeshwa kienyeji?

View attachment 1875332

View attachment 1875333
Sijaona popote kwenye ukurasa rasmi wa yanga walipotoa taarifa ya kuachana na ntibanzokiza, mambo ya ovyo ovyo ya kuwalisha maneno wachezaji ambayo awajatamka ni upuuzi mwingine unaofanywa na watu wasiojielewa, mchezaji yuko zake mapumziko kwao lakini kuna wajinga wajinga wanatunga habari wao kisha wanajijibu wao ni utahaira wa akili!
 
Back
Top Bottom