permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Tuambie na quality za wanaokuja. Huyu jamaa alifika sehemu akijiona father sana mara afunge atoke uwanjani, sasa Yanga ina pesa na inasajili wachezaji wanaojitambua.Aliondoka calinhos, kaondoka lamine, sasa ni saydou. Ukiangalia quality ya wachezaji walioondoka utagundua kuna shida mahali yanga
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app