wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Maiti ipo kundi gani?Hii thread haina shida, zile za kijinga napigilia nyundo!
Mfano mtu anauliza ndege zinanunuliwa kwa ajili ya nini?
Thread kama hiyo napigilia nyundo pamoja na wachangiaji sababu inajulikana ndege zinanunuliwa kwa ajili ya kusafirisha abiria pamoja na mizigo.
Boss Mo ndio maana tumemuuzia sehemu ya timu kwa 20bilMbumbumbu bwana wao kila source wanaiamini na kuruka nayo tu, sijui ni nani aliyewaroga.
So jlitaka wasajili kutoka timu ipi? Majimaji ya Songea? AuWakae chini waitengeneze timu na mfumo mzuri wa uongozi, hii style ya kusajili wachezaji kwa pupa kutoka AS Vita na sijui wapi huko ili washindane na simba haiwasaidii sana.
Kama ipi?Tukiweka ushabiki na mahaba pembeni ni dhahiri kuwa Yanga imepwaya kiuongozi na mipango yake mingi ipo kwenye makaratasi kuliko utekelezaji......
Mbona ninyi wote mnampigia magoti Manara asisema anachotaka kusema? Mnaogopa nini?ACHA kujizima data wewe, ulikua unapayuka sana jana kuhusu 20B za mo .. leo hii mchezaji wenu mwenyewe kawaumbua kuwa hamna uongozi unaoeleweka .. tulieni dawa iwaingie ..
Hizo B20 ni zile zinazohalalisha kwamba Yanga TV ni kubwa kuliko Simba!?Unafikiri wanakuelewa basi wako busy na 20B za Mo [emoji1787][emoji1787]
Nani aliyempigia magoti ?? .. tulimpa go ahead aseme anachotaka, baada ya kuona mashabiki wamempotezea akaona asitishe kwa visingizio eti amepokea simu nyingi [emoji23][emoji23] ..Mbona ninyi wote mnampigia magoti Manara asisema anachotaka kusema? Mnaogopa nini?
Wewe umejuaje hakupokea Simu nyingi? Uzuri aliwataja hadi baadhi ya wahusika mbona hawakukanusha?Nani aliyempigia magoti ?? .. tulimpa go ahead aseme anachotaka, baada ya kuona mashabiki wamempotezea akaona asitishe kwa visingizio eti amepokea simu nyingi [emoji23][emoji23] ..
Na mimi nilichomaanisha kwani Yanga alikuwa anamuweka nani benchi?Yani amuweke nani benchi ?? .. ndo nilicho maanisha ..
Huwezi kufananisha wachezaji wa Simba na yanga, ni mbingu na ardhi ..Na mimi nilichomaanisha kwani Yanga alikuwa anamuweka nani benchi?
Na kwanini asikilize maneno ya watu kama kweli alidhamiria, au humjui haji manara ?? ..Wewe umejuaje hakupokea Simu nyingi? Uzuri aliwataja hadi baadhi ya wahusika mbona hawakukanusha?
Sijaona popote kwenye ukurasa rasmi wa yanga walipotoa taarifa ya kuachana na ntibanzokiza, mambo ya ovyo ovyo ya kuwalisha maneno wachezaji ambayo awajatamka ni upuuzi mwingine unaofanywa na watu wasiojielewa, mchezaji yuko zake mapumziko kwao lakini kuna wajinga wajinga wanatunga habari wao kisha wanajijibu wao ni utahaira wa akili!Mwamba kafunguka mara baada ya kutemana na Yanga, Wana Yanga msijifiche kwenye stori za Bilioni 20 za Mo, kwanini klabu yenu inaendeshwa kienyeji?
View attachment 1875332
View attachment 1875333
Simba walimtuhumu Manara aliuza mbinu za uchawi wa Simba na Yanga kutopita kwenye gate ambalo Simba waliweka uchawi wao.Kienyeji ni yale mambo ya mzee Mpili.
Hivyo amesema ukweli.
CAS wanakaribia kutoa maamuzimwisho inang'ang'ania point za mezani
Haji Manara umemsikia kukusu matapeli yaliyopo Simba?ACHA kujizima data wewe, ulikua unapayuka sana jana kuhusu 20B za mo .. leo hii mchezaji wenu mwenyewe kawaumbua kuwa hamna uongozi unaoeleweka .. tulieni dawa iwaingie ..
Maneno ya mkosaji hayo ..Haji Manara umemsikia kukusu matapeli yaliyopo Simba?
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app