permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Tuambie na quality za wanaokuja. Huyu jamaa alifika sehemu akijiona father sana mara afunge atoke uwanjani, sasa Yanga ina pesa na inasajili wachezaji wanaojitambua.Aliondoka calinhos, kaondoka lamine, sasa ni saydou. Ukiangalia quality ya wachezaji walioondoka utagundua kuna shida mahali yanga
Yanga ilipitia kipindi kigumu baada ya genge lililoongozwa na makonda kuhakikisha Manji anakimbia nchi, sasa tuko kamili.Msimu wa nne huu mmetoka patupu mnkazana tu mtajuta mtajuta uto bna yule mbelgiji hakukosea kuwaita manyani mbwaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Makonda MUNGU anamuona.Yanga ilipitia kipindi kigumu baada ya genge lililoongozwa na makonda kuhakikisha Manji anakimbia nchi, sasa tuko kamili.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Kunywa maji kwanzaSijaona popote kwenye ukurasa rasmi wa yanga walipotoa taarifa ya kuachana na ntibanzokiza, mambo ya ovyo ovyo ya kuwalisha maneno wachezaji ambayo awajatamka ni upuuzi mwingine unaofanywa na watu wasiojielewa, mchezaji yuko zake mapumziko kwao lakini kuna wajinga wajinga wanatunga habari wao kisha wanajijibu wao ni utahaira wa akili!
hapo kwa kweli yanga ndipo inapofeli.Kasema kweli,ushaona wapi timu yenye malengo inasajili timu mpya kila mwaka?
Kijana kalinyo ameishia wapi!?Uto wapo sahihi kupiga chini hiki kibabu.!
😂😂😂Kienyeji ni yale mambo ya mzee Mpili.
Hivyo amesema ukweli.
Huo ni uongo ntibazonkiza hajasema hayo manenoMwamba kafunguka mara baada ya kutemana na Yanga, Wana Yanga msijifiche kwenye stori za Bilioni 20 za Mo, kwanini klabu yenu inaendeshwa kienyeji?
View attachment 1875332
View attachment 1875333
Nifukie na hiliMsimu ujao naiona ligi ikiisha Yanga itaishia nafasi ya tatu,Azam wa pili na Simba bingwa,Ukibisha bisha tu ila ukweli ndio huo
Wewe ndio mtu mwenye akili sasaNadhani hii ni mind game ya Yanga......ili kunogesha nusu fainali
Sasa Ntibanzokiza anawezaje kutengeneza mind game kwa kiwango kile?Nadhani hii ni mind game ya Yanga......ili kunogesha nusu fainali