Pre GE2025 NTOBI atengwa na Mkoa wake Wajumbe wa Mkutano Mkuu kutoka Shinyanga wafanya maamuzi na wameamua kumchagua Lissu kwenye Uchaguzi wa Januari wa Chama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
11,622
Reaction score
26,005
Ikiwa Imebaki siku Chache tu au Wiki kadhaa Kwenye Chama cha Siasa Cha CHADEMA kuingia kwenye Uchaguzi Wa Viongozi Wa Juu sana..

Viongozi waandamizi kutoka Chama cha Demokrasia kutoka shinyanga wameamua Kutoa Msimamo wao Ambao unapingana na Mwenyekiti wa Mkoa Huo hivyo hawakumshirkisha Kwenye Kikao wala Kumuita kikaoni Japo walifaniliwa Kutimiza Akidi ya Kikao Hivyo ni kikao Halali cha Mkoa..

Wametoa maamuzi ya Kumuunga Mkono Lissu Huku wakimtuhumu mwenyekiti wa Mkoa Huo Kulalia Upande wa FAM huku akitukana upande wa Lissu

Pia sikiliza Video Hii Kwa Ukamilifu wake wote..

View: https://youtu.be/O5YL7J9dW5I?si=TQe3Tu5s1yNI0NYq
 
Ikiwa Imebaki siku Chache tu au Wiki kadhaa Kwenye Chama cha Siasa Cha CHADEMA kuingia kwenye Uchaguzi Wa Viongozi Wa Juu sana..

Viongozi waandamizi kutoka Chama cha Demokrasia kutoka shinyanga wameamua Kutoa Msimamo wao Ambao unapingana na Mwenyekiti wa Mkoa Huo hivyo hawakumshirkisha Kwenye Kikao wala Kumuita kikaoni Japo walifaniliwa Kutimiza Akidi ya Kikao Hivyo ni kikao Halali cha Mkoa..

Wametoa maamuzi ya Kumuunga Mkono Lissu Huku wakimtuhumu mwenyekiti wa Mkoa Huo Kulalia Upande wa FAM huku akitukana upande wa Lissu

View: https://x.com/frediejustine/status/1872202214539976722?t=Yz3H2t5e0Yb2e_SKdrNi4w&s=09

Kwahyo wewe CCM inakuhusu Nini kwani Unapiga Kura au Unakipi kinakuuma CHADEMA wakiingia Kwenye mtafaruku na Mavurugano?
 
20241226_132152.jpg

CC: Lucas Mwashambwa
 
Ningeshangaa sana wajumbe wamchague mbowe kwa kipi kizuri kipi alichofanya.
Kitendo cha lisu kusema kuwa ruzuku itapelekwa mashinani ndiyo ilikuwa kaburi la mbowe.
Huku mashinani chama kiko hoi wakati kuna watu huko juu wanatafuna ruzuku.
 
Hii Kweli kabisa Unakuta Chawa wa Mwenyekiti kama MMM anamiliki Range wakati Mwenyekiti wa Mkoa wa Rukwa hana Hata baskeli..
Wakati Wanapokea Ruzuku ya 4 bilion kwa Kota
 
Kwahyo wewe CCM inakuhusu Nini kwani Unapiga Kura au Unakipi kinakuuma CHADEMA wakiingia Kwenye mtafaruku na Mavurugano?
Haha huyo wa Ccm atakuwa anawashwashwa. Waachwe wachague wampendae. Huyo mwenyekiti angeitwa kwenye kikao kwani angemshikilia au kumnyima yeyote kupenda na kuchagua kadri ya utashi wake? Hao walioita kikao cha siri ni woga. Hawafai ktk chama chochote. Matumbo yanawasumbua wanaogopa kupiteza kula.
 
Ikiwa Imebaki siku Chache tu au Wiki kadhaa Kwenye Chama cha Siasa Cha CHADEMA kuingia kwenye Uchaguzi Wa Viongozi Wa Juu sana..

Viongozi waandamizi kutoka Chama cha Demokrasia kutoka shinyanga wameamua Kutoa Msimamo wao Ambao unapingana na Mwenyekiti wa Mkoa Huo hivyo hawakumshirkisha Kwenye Kikao wala Kumuita kikaoni Japo walifaniliwa Kutimiza Akidi ya Kikao Hivyo ni kikao Halali cha Mkoa..

Wametoa maamuzi ya Kumuunga Mkono Lissu Huku wakimtuhumu mwenyekiti wa Mkoa Huo Kulalia Upande wa FAM huku akitukana upande wa Lissu

View: https://x.com/frediejustine/status/1872202214539976722?t=Yz3H2t5e0Yb2e_SKdrNi4w&s=09

hivi huu uchaguzi hadi position kama za kina ntobi zinahusika? maana ameprove failure
 
Ni wale tu aliokula nao hela za Abdul ndiyo wanamtaka. Kama Mbowe kweli anaipenda Chadema ajing'atue tu kwenye hiki kinyang'anyiro vinginevyo atabakia na wapambe tu.
Na tunamsubiria Kwenye Kesi ya Ali kibao 🤣🤣
Ushahidi Ni Lissu🤣🤣
 
Back
Top Bottom