Katibu Si ndo anayeongea Boss..
Kwa Mujibu wa Katiba ya Chadema ya Mwaka 2006
Toleo la Mwaka 2016 ibara ya 6.2 ibara ndogo ya 6.2.1 na 6.2.2 inaelekeza Akidi ya jinsi ya Uendeshaji wa Vikao..
Kwenye Ibara ya 6.2.2 ibara ndogo ya (a) Imetaja Kuwa wakifika Asilimia 50 kikao kinaweza Kuendeshwa Ila kwenye Ibara ya 6.2.2 ibara ndogo kabisa ya (b) na (d) inaelekeza Kuwa Kama ni kikao cha Maamuzi kama Hicho kinahitaji akidi ya wajumbe wasiopungua 75%..
Ila kwa Mujibu wa Katibu Aliyekuwa Akiongea Walikuwa wamezidi 80% so jibu lako ni kikao halalin kabisa
View attachment 3185530
View attachment 3185531