DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Kwahyo wewe CCM inakuhusu Nini kwani Unapiga Kura au Unakipi kinakuuma CHADEMA wakiingia Kwenye mtafaruku na Mavurugano?Ikiwa Imebaki siku Chache tu au Wiki kadhaa Kwenye Chama cha Siasa Cha CHADEMA kuingia kwenye Uchaguzi Wa Viongozi Wa Juu sana..
Viongozi waandamizi kutoka Chama cha Demokrasia kutoka shinyanga wameamua Kutoa Msimamo wao Ambao unapingana na Mwenyekiti wa Mkoa Huo hivyo hawakumshirkisha Kwenye Kikao wala Kumuita kikaoni Japo walifaniliwa Kutimiza Akidi ya Kikao Hivyo ni kikao Halali cha Mkoa..
Wametoa maamuzi ya Kumuunga Mkono Lissu Huku wakimtuhumu mwenyekiti wa Mkoa Huo Kulalia Upande wa FAM huku akitukana upande wa Lissu
View: https://x.com/frediejustine/status/1872202214539976722?t=Yz3H2t5e0Yb2e_SKdrNi4w&s=09
Chadema Mnatakiwa Kujifunza Jibuni Hoja Msipanic..Kwahyo wewe CCM inakuhusu Nini kwani Unapiga Kura au Unakipi kinakuuma CHADEMA wakiingia Kwenye mtafaruku na Mavurugano?
Mambo yanazidi Kuwa Matamu aiseeHapa hakuna chama tena 😂😂😂
Mbowe safari hii ameshikwa pabaya 😂😂
Mbona kama umeshawaamulia 😀 😀Chadema Mnatakiwa Kujifunza Jibuni Hoja Msipanic..
Tulizeni akili amueni Kwa Heshima ya Chama chenu
Hamna Nimeamua Kuwaonyesha Uamuzi sahihi ni UpiMbona kama umeshawaamulia 😀 😀
Hii Kweli kabisa Unakuta Chawa wa Mwenyekiti kama MMM anamiliki Range wakati Mwenyekiti wa Mkoa wa Rukwa hana Hata baskeli..Ningeshangaa sana wajumbe wamchague mbowe kwa kipi kizuri kipi alichofanya.
Kitendo cha lisu kusema kuwa ruzuku itapelekwa mashinani ndiyo ilikuwa kaburi la mbowe.
Huku mashinani chama kiko hoi wakati kuna watu huko juu wanatafuna ruzuku.
Ni upi wewe unaona uamuzi sahihi.....ujawa wazi.. 😀Hamna Nimeamua Kuwaonyesha Uamuzi sahihi ni Upi
Wamchague LissuNi upi wewe unaona uamuzi sahihi.....ujawa wazi.. 😀
Sawa.... 😀Wamchague Lissu
Naenda na Upepo Mkuu wajumbe karibu Wote hawamtaki Mbowe Mimi ni nani hasa Nimtake 🤣🤣Sawa.... 😀
Ni wale tu aliokula nao hela za Abdul ndiyo wanamtaka. Kama Mbowe kweli anaipenda Chadema ajing'atue tu kwenye hiki kinyang'anyiro vinginevyo atabakia na wapambe tu.Naenda na Upepo Mkuu wajumbe karibu Wote hawamtaki Mbowe Mimi ni nani hasa Nimtake 🤣🤣
Haha huyo wa Ccm atakuwa anawashwashwa. Waachwe wachague wampendae. Huyo mwenyekiti angeitwa kwenye kikao kwani angemshikilia au kumnyima yeyote kupenda na kuchagua kadri ya utashi wake? Hao walioita kikao cha siri ni woga. Hawafai ktk chama chochote. Matumbo yanawasumbua wanaogopa kupiteza kula.Kwahyo wewe CCM inakuhusu Nini kwani Unapiga Kura au Unakipi kinakuuma CHADEMA wakiingia Kwenye mtafaruku na Mavurugano?
hivi huu uchaguzi hadi position kama za kina ntobi zinahusika? maana ameprove failureIkiwa Imebaki siku Chache tu au Wiki kadhaa Kwenye Chama cha Siasa Cha CHADEMA kuingia kwenye Uchaguzi Wa Viongozi Wa Juu sana..
Viongozi waandamizi kutoka Chama cha Demokrasia kutoka shinyanga wameamua Kutoa Msimamo wao Ambao unapingana na Mwenyekiti wa Mkoa Huo hivyo hawakumshirkisha Kwenye Kikao wala Kumuita kikaoni Japo walifaniliwa Kutimiza Akidi ya Kikao Hivyo ni kikao Halali cha Mkoa..
Wametoa maamuzi ya Kumuunga Mkono Lissu Huku wakimtuhumu mwenyekiti wa Mkoa Huo Kulalia Upande wa FAM huku akitukana upande wa Lissu
View: https://x.com/frediejustine/status/1872202214539976722?t=Yz3H2t5e0Yb2e_SKdrNi4w&s=09
Na tunamsubiria Kwenye Kesi ya Ali kibao 🤣🤣Ni wale tu aliokula nao hela za Abdul ndiyo wanamtaka. Kama Mbowe kweli anaipenda Chadema ajing'atue tu kwenye hiki kinyang'anyiro vinginevyo atabakia na wapambe tu.