Pre GE2025 NTOBI atengwa na Mkoa wake Wajumbe wa Mkutano Mkuu kutoka Shinyanga wafanya maamuzi na wameamua kumchagua Lissu kwenye Uchaguzi wa Januari wa Chama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
 
hivi huu uchaguzi hadi position kama za kina ntobi zinahusika? maana ameprove failure
Uchaguzi wao si walishafanya baadae ndo ikaja ya KANDA sasa Ni ngazi ya Taifa..
 
Reactions: Lax
Sijamaliza kuisikiliza yote, lakini niulize, hicho kikao ni halali kwa mujibu wa Katiba ya Chadema? Kwamba wajumbe wanaitana, wanakaa kikao bila Mwenyekiti kujua wala Katibu halafu maamuzi halali yanatoka!🙄🙄🙄🙄

Kama yatakuwa maamuzi halali, basi Chadema mtakuwa mna demokrasia ya hali ya juu kuzidi maana halisi ya demokrasia! Hongereni sana!
 
Hivi huyo jamaa mnamuita Mtobi alipataje Uenyekiti wa mkoa.

........Jamaa ni Mpuuzi sana.
 
Katibu Si ndo anayeongea Boss..
Kwa Mujibu wa Katiba ya Chadema ya Mwaka 2006
Toleo la Mwaka 2016 ibara ya 6.2 ibara ndogo ya 6.2.1 na 6.2.2 inaelekeza Akidi ya jinsi ya Uendeshaji wa Vikao..

Kwenye Ibara ya 6.2.2 ibara ndogo ya (a) Imetaja Kuwa wakifika Asilimia 50 kikao kinaweza Kuendeshwa Ila kwenye Ibara ya 6.2.2 ibara ndogo kabisa ya (b) na (d) inaelekeza Kuwa Kama ni kikao cha Maamuzi kama Hicho kinahitaji akidi ya wajumbe wasiopungua 75%..

Ila kwa Mujibu wa Katibu Aliyekuwa Akiongea Walikuwa wamezidi 80% so jibu lako ni kikao halalin kabisa

 
DUh, anaongea kama yupo jf sports, wamekula loss pale
Na hilo ndo bomu walilolitengeneza Na Ipo siku litamlipua hata anayelituma..
We mwache walichekee tu 🤣
 
Reactions: Lax
Huyo anayeongea ndio Katibu wa Mkoa Agatha Mamuya? Ahahahahaha!!!
 
Ningeshangaa sana wajumbe wamchague mbowe kwa kipi kizuri kipi alichofanya.
Kitendo cha lisu kusema kuwa ruzuku itapelekwa mashinani ndiyo ilikuwa kaburi la mbowe.
Huku mashinani chama kiko hoi wakati kuna watu huko juu wanatafuna ruzuku.
Na wakiyatekeleza maamuzi yao kwa kuzingatia maoni ya watanzania (kumchagua Lisu), chama kitaendelea kustawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…