Pre GE2025 NTOBI atengwa na Mkoa wake Wajumbe wa Mkutano Mkuu kutoka Shinyanga wafanya maamuzi na wameamua kumchagua Lissu kwenye Uchaguzi wa Januari wa Chama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ningeshangaa sana wajumbe wamchague mbowe kwa kipi kizuri kipi alichofanya.
Kitendo cha lisu kusema kuwa ruzuku itapelekwa mashinani ndiyo ilikuwa kaburi la mbowe.
Huku mashinani chama kiko hoi wakati kuna watu huko juu wanatafuna ruzuku.
Ila lissu kudadadeki afu kapiga pigo za ki 50 cent kwenye many men
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…