digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Mkuu nawewe hujui lengo la hii kitu Hadi useme lissu anafanyiw timing? Elewa kuwa chadema Sasa imegawinyika kikanda na kikabila ila kundi la lissu linaonekana kuwa NA NGUVU kuliko la mboweUnaweza kuta wanaandaa mazingira ya kuja kutaka kumvua Lissu uanachama. Tuwe makini sana.
Kimsingi bila Nidhamu maendeleo anakuwa ni magumu sanaactualy,
ile ni dawa ya kusisimua nidhamu ya mwili, akili na tabia ya mtu ikae sawa katika taasisi au jamii
Nami anaamini katika hilo,Sema figisu Mkuu ni nyingi,Kuanzia kwa Ccm,Chair na wapambe wake na Msaada wa TissCcm...lissu hakurupuki boss, ana cheza na maneno, ni mwanasheria yule, Ntobi aliingia live, huwezi sema makamu mwenyekiti Wako ni mropokaji
Ramli hiyo haina msaada kwa chama..ni hatu nzuri na muhimu mno, kwa taasisi imara kusimamia nidhamu kwa viongozi waaandamizi wake,
Na bilashaka anaefuata ni Tundu Antipas Mughwai Lisu kuchukuliwa hatua sawa na hizo, maana aina ya uropokaji na tuhuma alizonazo zinafanana kila kitu na huyo muungwana,
ili iwe fundisho kwa wasaliti na waropokaji wengine kama hao 🐒
Kanda ya serengenti, nadhaini inajumuisha, simuyu,shinyanga na Tabora kama sijakoseaKwani Serengeti ndio mji mkuu wa Shinyanga ?
Hili neno nimewahi kulisikia kwenye movie ya winnie madikizela mandelaKumekucha.
Amandla...
Kama wameweza waliowaita Mafala na Malofa, kwanini hao washindwe?Hivi hawa wapuuzi kama ndo wanatukanana hadharani hivi wanaweza kuongoza nchi hawa?
Huyu itakua pia ni maelekezo toka juu huko chadema huyu alikua anaishutumu mpaka kamati kuu kua uwa inapindisha maamuzi,Democracy nchi hii bado ni ndoto. Hayo yanayodaiwa kuwa matusi yako wapi? Kwahiyo Lissu naye karibu atafukuzwa kwa utovu wa nidhamu dhidi ya Ayatollah Mbowe?
Alichofanya Ntobi wamefanya wengi mno, ngoja tuone kama haki itatendeka kwa wakosaji woteErythrocyte yapi maoni yako kuhusiana na uamuzi huu?
Weka hapa matusi ya Lissu kwa Mbowe.Jikite kwenye hoja ya msingi bila kumbwelambwela gentleman na itapendeza sana 🐒
Msajili atakifuta hiki chamaAlichofanya Ntobi wamefanya wengi mno, ngoja tuone kama haki itatendeka kwa wakosaji wote
Haki itendeke kwa wala rushwa wengine wote pia.Alichofanya Ntobi wamefanya wengi mno, ngoja tuone kama haki itatendeka kwa wakosaji wote
Wasiwasi akili.Unaweza kuta wanaandaa mazingira ya kuja kutaka kumvua Lissu uanachama. Tuwe makini sana.
Lakini wewe binafsi msimamo wako ni upi? Unaamini Ntobi kaonewa au kamati Tendaji iko sahihi?Alichofanya Ntobi wamefanya wengi mno, ngoja tuone kama haki itatendeka kwa wakosaji wote
Mbowe amekataliwa na WanaCHADEMA Mchi nzima.Wamachame wamevurugwa mbaya
Hapana ila ninyi mburula ndiyo mnaweza kuongoza nchi!Hivi hawa wapuuzi kama ndo wanatukanana hadharani hivi wanaweza kuongoza nchi hawa?
Nimewaza hivyo piaUnaweza kuta wanaandaa mazingira ya kuja kutaka kumvua Lissu uanachama. Tuwe makini sana.