Pre GE2025 Ntobi avuliwa Uenyekiti Mkoa wa Shinyanga kutokana na utovu wa maadili na nidhamu dhidi ya Lissu

Pre GE2025 Ntobi avuliwa Uenyekiti Mkoa wa Shinyanga kutokana na utovu wa maadili na nidhamu dhidi ya Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unaweza kuta wanaandaa mazingira ya kuja kutaka kumvua Lissu uanachama. Tuwe makini sana.
Mkuu nawewe hujui lengo la hii kitu Hadi useme lissu anafanyiw timing? Elewa kuwa chadema Sasa imegawinyika kikanda na kikabila ila kundi la lissu linaonekana kuwa NA NGUVU kuliko la mbowe
 
..lissu hakurupuki boss, ana cheza na maneno, ni mwanasheria yule, Ntobi aliingia live, huwezi sema makamu mwenyekiti Wako ni mropokaji
Nami anaamini katika hilo,Sema figisu Mkuu ni nyingi,Kuanzia kwa Ccm,Chair na wapambe wake na Msaada wa TissCcm.
 
ni hatu nzuri na muhimu mno, kwa taasisi imara kusimamia nidhamu kwa viongozi waaandamizi wake,

Na bilashaka anaefuata ni Tundu Antipas Mughwai Lisu kuchukuliwa hatua sawa na hizo, maana aina ya uropokaji na tuhuma alizonazo zinafanana kila kitu na huyo muungwana,

ili iwe fundisho kwa wasaliti na waropokaji wengine kama hao 🐒
Ramli hiyo haina msaada kwa chama..
 
Democracy nchi hii bado ni ndoto. Hayo yanayodaiwa kuwa matusi yako wapi? Kwahiyo Lissu naye karibu atafukuzwa kwa utovu wa nidhamu dhidi ya Ayatollah Mbowe?
Huyu itakua pia ni maelekezo toka juu huko chadema huyu alikua anaishutumu mpaka kamati kuu kua uwa inapindisha maamuzi,
20241219_135131.jpg
20241219_184521.jpg
 
Kamati Tendaji ya CHADEMA kanda ya Serengeti inayoundwa na mikoa ya Mara, Simiyu na Shinyanga chini ya Mwenyekiti wake Mh. Lucas Ngoto, Kwa kauli moja wamefikia uamuzi wa pamoja wa kumvua uenyekiti wa chama hicho mkoa wa Shinyanga Ndg. Emmanuel Ntobi kutokana na tuhuma za kimaadili anazotuhumiwa nazo
1736426612249.jpg
 
Back
Top Bottom