Nuh Mziwanda afunguka machungu ya Maisha adai akifa "asije baba, mama wala ndugu" kunizika! Aomba azikwe na Serikali

Atleast wewe umemake sense kwenue comment yako
 
Asipuuzwe asikilizwe na asaidiwe...
Vijana mnapitia stress nyingi sana ktk maisha... Hata humu JF mpo wengi wenye shida ya kiakili, kiafya, kifamilia, kimahusiano, kiuchumi na kiroho...
Unasumbuliwaje kiroho wakt jf iko full of wizards
 
Nadhani gavoo ingetunga sheria ya kuruhusu mtu kujiua anapopitia magumu ili nuhu mziwanda ajiue na tumzike bila shida yoyote tule ubwabwa tumsahau.

Kwasababu kwenye posti yake katualika mashabiki tuje tumzike na tutamzika kweli, kwani kumzika sh ngapi wanangu?

Mimi huyu mwamba kabisa ntagombana na watu wote hapa duniani lakini siyo "MAMA YANGU" MAMA ntamuheshimu siku zote na nitampenda siku zote till i say goodbye, MAMA ni mboni yangu, mama ni jicho langu linalonifanya nione mbele nisitumbukie shimoni.
 
Kosa alilofanya halisameheki: kutembea na mama yake (shishi baby).
 
Huko ndio kuchanganyikiwa kwenyewe. Muwahisheni mirembe maoema apate tiba sahihi. Waganga washamvuruga hakuna mtu hapo
 
Straight to my ignore list.

Kuanzia hapa sitaona unachoandika nisikueleweni wote kabisa msije mkaniambukiza ujinga.
We jmaa unachachawa sana na ujinga wako , tatizo ni asili yako huko usukumani
 
Hakuna hata mmoja ataenda kumzika, Wala asihangaike, kwanza aache pombe, atoe mahereni hayo, aache muziki na aanze kufanya Ibada, inaonekana familia yake inajielewa, washindwe kishirikiana na wewe mzima watakufata ukiwa umekufa? Waulize tatizo ni nini? Sio uishi unavyotaka alafu wote tukusapoti hapana, Mungu hataki mwanaume avae hayo mahereni ulio vaa kavue kwanza alafu ndo umtaje, baada ya hapo ulete changamoto zako hapa tujue kwa nini wamekutenga sio kulalamika tu, na mihereni Yako hiyo hata kwangu marufuku kuja.
 
Kujiua haisaidii chochote
 
Wewe ni nguvu kazi ya taifa, Hauruhusiwi kujiua mpaka utumike kwanza
 
Wewe ni nguvu kazi ya taifa, Hauruhusiwi kujiua mpaka utumike kwanza
Mimi hapana kwa vile nina mambo mengi ya kufanya , kwa ujumla mambo yangu yanaenda sawa ila kama ningekuwa maskini kabisa nina shida , sioni mwelekeo
 
Hayo mambo yako ndio yanatakiwa ili juu ya mwamba huu uitwe Tanzania.
Nyuma yako kuna serikali, ndugu, familia, ombaomba na wengine wengi.
Hivyo jichunge sana utunze na afya yako sababu wewe, mimi na yule ndio tunakamilisha jambo moja.
Mimi hapana kwa vile nina mambo mengi ya kufanya , kwa ujumla mambo yangu yanaenda sawa ila kama ningekuwa maskini kabisa nina shida , sioni mwelekeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…