gonamwitu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 2,187
- 2,794
Usiandike kingereza wewe ni mweusi kama kunguru ,tunajadili usineletee uzungu mimi ni race tofauti na huo ujinga wako.
Huelewi kitu unakimbilia lugha nyingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiandike kingereza wewe ni mweusi kama kunguru ,tunajadili usineletee uzungu mimi ni race tofauti na huo ujinga wako.
Huelewi kitu unakimbilia lugha nyingine
Wewe mwenyewe masikini una thamani gani sasa ?
Atleast wewe umemake sense kwenue comment yakoMaana halisi ya depression, Huyu bwana mdogo psychological hayuko sawa kabisa, kuna vitu vingi anaona ameshafeli, afu akiangalia madogo wa 2000 kina Ibra wa konde gang wanatamba mjini
Akubaliane na ukweli kwamba ameshafeli, pombe haitamsaidia zaidi itaendelea kumuangamiza
Afanye ibada Mungu atamfungulia njia
MhHivi kumbe we ndo cacutee...??? Nashukuru kukufahamu.
Unasumbuliwaje kiroho wakt jf iko full of wizardsAsipuuzwe asikilizwe na asaidiwe...
Vijana mnapitia stress nyingi sana ktk maisha... Hata humu JF mpo wengi wenye shida ya kiakili, kiafya, kifamilia, kimahusiano, kiuchumi na kiroho...
Usijali cacutee tutaendelea kufahamiana taratibu taratibu na hautajuta kufahamiana na mimi "TAJIRI KIJANA"
Straight to my ignore list.
Kuanzia hapa sitaona unachoandika nisikueleweni wote kabisa msije mkaniambukiza ujinga.
Maana halisi ya depression, Huyu bwana mdogo psychological hayuko sawa kabisa, kuna vitu vingi anaona ameshafeli, afu akiangalia madogo wa 2000 kina Ibra wa konde gang wanatamba mjini
Akubaliane na ukweli kwamba ameshafeli, pombe haitamsaidia zaidi itaendelea kumuangamiza
Afanye ibada Mungu atamfungulia njia
Huko ndio kuchanganyikiwa kwenyewe. Muwahisheni mirembe maoema apate tiba sahihi. Waganga washamvuruga hakuna mtu hapoMsanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda, ameibua hisia kali mitandaoni baada ya ku-share ujumbe wa kusikitisha kupitia ukurasa wake wa Instagram. Kupitia posti hiyo, Nuh alieleza machungu anayoyapitia, akifichua hali ngumu inayomkabili, hasa katika mahusiano yake na familia.
Katika ujumbe wake mzito, msanii huyo aliandika:
"Naomba sana kama nikifa asije mama, baba wala ndugu yangu yoyote (yeyote) kunizika mimi. Naomba nizikwe na serikali na mashabiki wangu. Naandika kwa uchungu sana, naamini Mungu anahisi maumivu yangu. Oya, hakuna kitu kibaya kama familia kukuacha na kukuona hauna maana wakati unaamini wao ndio furaha yako ya mwisho..."
Aliendelea kufunguka zaidi kwa kusema kuwa amejitahidi kuacha pombe, lakini kutokana na changamoto kubwa anazopitia, anaona hiyo ndiyo njia pekee inayoweza kumpa furaha kwa sasa.
"Mimi nateseka sio kiuchumi, kuna mengi napitia. Naomba umma ijue na iwe kama njia sahihi na mfano bora kwa vijana wanaopitia changamoto za kifamilia na kimapenzi."
We jmaa unachachawa sana na ujinga wako , tatizo ni asili yako huko usukumaniStraight to my ignore list.
Kuanzia hapa sitaona unachoandika nisikueleweni wote kabisa msije mkaniambukiza ujinga.
Hakuna hata mmoja ataenda kumzika, Wala asihangaike, kwanza aache pombe, atoe mahereni hayo, aache muziki na aanze kufanya Ibada, inaonekana familia yake inajielewa, washindwe kishirikiana na wewe mzima watakufata ukiwa umekufa? Waulize tatizo ni nini? Sio uishi unavyotaka alafu wote tukusapoti hapana, Mungu hataki mwanaume avae hayo mahereni ulio vaa kavue kwanza alafu ndo umtaje, baada ya hapo ulete changamoto zako hapa tujue kwa nini wamekutenga sio kulalamika tu, na mihereni Yako hiyo hata kwangu marufuku kuja.Msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda, ameibua hisia kali mitandaoni baada ya ku-share ujumbe wa kusikitisha kupitia ukurasa wake wa Instagram. Kupitia posti hiyo, Nuh alieleza machungu anayoyapitia, akifichua hali ngumu inayomkabili, hasa katika mahusiano yake na familia.
Katika ujumbe wake mzito, msanii huyo aliandika:
"Naomba sana kama nikifa asije mama, baba wala ndugu yangu yoyote (yeyote) kunizika mimi. Naomba nizikwe na serikali na mashabiki wangu. Naandika kwa uchungu sana, naamini Mungu anahisi maumivu yangu. Oya, hakuna kitu kibaya kama familia kukuacha na kukuona hauna maana wakati unaamini wao ndio furaha yako ya mwisho..."
Aliendelea kufunguka zaidi kwa kusema kuwa amejitahidi kuacha pombe, lakini kutokana na changamoto kubwa anazopitia, anaona hiyo ndiyo njia pekee inayoweza kumpa furaha kwa sasa.
"Mimi nateseka sio kiuchumi, kuna mengi napitia. Naomba umma ijue na iwe kama njia sahihi na mfano bora kwa vijana wanaopitia changamoto za kifamilia na kimapenzi."
Kujiua haisaidii chochoteKuzaa watoto ni sawa na upatu mtanielewa siku moja ,Nuh Mziwanda anapata matatizo ila wazazi waliomzaa hawana msaada kwake kabisa ila wanategemea akikaa sawa awatunze hata hao ndugu zake ni hovyo.
Kiuhalisia ifike muda mtu kujiua iwe ni haki na huru kabisa kwa vile dunia haina maana , sometimes unajikuta huendani na mikazo ya dunia ...Kwa kweli wapitishe tu sheria hiyo hakuna ulazima wa kuendelea kushikilia maumivu hata wewe ulizaliwa bila ya ridhaa yako.
Ndio maana yule jamaa wa P square alisema bora kifo kuliko umaskini ,yuko sahihi kabisa kwa nini uendelee kuteseka simply jitoe uhai tu.
Wewe ni nguvu kazi ya taifa, Hauruhusiwi kujiua mpaka utumike kwanzaKuzaa watoto ni sawa na upatu mtanielewa siku moja ,Nuh Mziwanda anapata matatizo ila wazazi waliomzaa hawana msaada kwake kabisa ila wanategemea akikaa sawa awatunze hata hao ndugu zake ni hovyo.
Kiuhalisia ifike muda mtu kujiua iwe ni haki na huru kabisa kwa vile dunia haina maana , sometimes unajikuta huendani na mikazo ya dunia ...Kwa kweli wapitishe tu sheria hiyo hakuna ulazima wa kuendelea kushikilia maumivu hata wewe ulizaliwa bila ya ridhaa yako.
Ndio maana yule jamaa wa P square alisema bora kifo kuliko umaskini ,yuko sahihi kabisa kwa nini uendelee kuteseka simply jitoe uhai tu.
Kuteseka ni balaa zaidi , kwani wamekufa wangapi ? Kufa utakuja tu hata iweje so unaweza kupunguza mlolongo mrefu wa kuteseka.Kujiua haisaidii chochote
Mimi hapana kwa vile nina mambo mengi ya kufanya , kwa ujumla mambo yangu yanaenda sawa ila kama ningekuwa maskini kabisa nina shida , sioni mwelekeoWewe ni nguvu kazi ya taifa, Hauruhusiwi kujiua mpaka utumike kwanza
Mimi hapana kwa vile nina mambo mengi ya kufanya , kwa ujumla mambo yangu yanaenda sawa ila kama ningekuwa maskini kabisa nina shida , sioni mwelekeo