Nuhu Adams: Fiston Kalala Mayele amesaini miaka 3 Kaizer Chiefs

Nuhu Adams: Fiston Kalala Mayele amesaini miaka 3 Kaizer Chiefs

Huko twitter leo hakupoi, tangu asubuhi wanamsosomola mayele
 
anayeuza ni mkopeshaji AS Vita, Yanga anapewa taarifa tu
Unapenda sana habari za Yanga kukopeshwa wachezaji. Ulishikilia bango suala la Shanban Djuma hadi ulipoumbuka. Leo tena umeibuka. Nakushauri kwasasa endelea kufurahia kiatu cha dhahabu kwa Mpole
 
Mtu aliyefunga magoli 16 dhidi ya timu kama polisi, jkt ruvu, Dodoma Jiji, Biashara, nk apewe contract miaka 3 Kaiser Chiefs?

Naungana na Senzo kusema it's a stupid joke...
 
Mtu aliyefunga magoli 16 dhidi ya timu kama polisi, jkt ruvu, Dodoma Jiji, Biashara, nk apewe contract miaka 3 Kaiser Chiefs?

Naungana na Senzo kusema it's a stupid joke...
Iyo ss
Screenshot_20220630_233736.jpg
 
Mafanikio makubwa kwa makolo msimu huu ni mchezaji wa Geita Gold George Mpole kuwa mfungaji bora
 
Back
Top Bottom