Kwani unataka kusemaje? Kwamba polisi/usalama hawahusiki na huu utekaji? Kuna majambazi siku hizi wana jiamini na kutembea wakiteka watu kwa bunduki na pingu?Tena hadharani!!!
Haya furahi mkuu
Trying to make sense of this thread.
Mleta mada unajaribu kutuelekeza kwenye hoja kwamba "viongozi wa CHADEMA hasa Mbowe ni wahusika au washirika katika hili sakata"? Kwamba wanajua undani wake kuliko wanavyoeleza?
Peleka huu ushahidi polisi ili uwasaidie kwenye upelelezi wao unao endelea wa kujipeleleza wenyewe. Unaleta mada ya kiwaki wakati kuna mtanzania mwenzetu ametekwa na kuuawa na dola!!!Wapo unayasoma hayo ndugu?
Kwanini hutaki kuona kuwa speechless nimeamua kukusanya yenye utata tusaidiane kama ni miye ambaye sijaelewa?
Au kuna nukuu ambayo nimeikosea?
Story zitakuja nyingi sana lakini mwisho wa siku Mzee Kibao ameshapoteza maisha yake na ni ktk kipindi ambacho haya matukio yalikuwa yamezidi ajabu zaidi ni hatukuwahi kupewa warning yoyote na wanaojiita serikali kwamba kuna hali isiyokuwa ya kawaida.
Hata wale topper walikuwa kimya siyo serikalini siyo vyombo vya ulinzi ila baada ya kifo cha huyu katibu msaidizi nimemsikia hata Samia akitoa neno,of course inafikirisha inaonekana yapo maagizo fulani ya kutaka watu fulani fulani wasiwepo kwa sababu fulani za kipindi fulani lakini wale waliotumwa hiyo kazi wameichukulia so personal kiasi wamevuka mipaka na kwa damu za wale wanaouawa zimewakereketa waliowatuma na kuwasukuma kutoka hadharani japo kinafiki kutoa maagizo.
Peleka huu ushahidi polisi ili uwasaidie kwenye upelelezi wao unao endelea wa kujipeleleza wenyewe. Unaleta mada ya kiwaki wakati kuna mtanzania mwenzetu ametekwa na kuuawa na dola!!!
Lema kasema ni polisi mnyika kasema siyo polisi taarifa zipi ni za kweli?
Hata hivyo hakuna mtekaji atakaekuja kuteka na aseme yeye ni mtekaji lazima atajivisha mamlaka halali ya uongo ili aaminiwe
I'm just thinking aloud - just like you.Wapi unayasoma hayo ndugu?
Kwanini hutaki kuona kuwa speechless nimeamua kukusanya yenye utata tusaidiane kama ni miye ambaye sijaelewa?
Au kuna nukuu ambayo nimeikosea?
Kitu kibaya ni kuwa hayupo tena.
Kitu kibaya zaidi ni mateso mpaka kufa kwake.
Kitu kibaya sana ni vile wauaji ni vijana tu , sometimes muwe na huruma.
Wangemchoma tu sindano afe bila mateso.
Taaluma nyeti hazisitaafu,
ngoja niishie hapa
I'm just thinking aloud - just like you.
Hakuna nukuu uliyoikosea. The content is all bonafide genuine. I'm particularly interested in the context. Nafuatilia uzi kuona hitimisho lake. Basi.
Kwani hayati alikuwa na Viapo vingapi? πΌimhotep, @tlaataah, JokaKuu, Retired, Allen Kilewella na ndugu wengine tusaidiane mawazo kwa maana wengine tukijumlisha na haya:
View attachment 3092203
kwa muda tumelazimika kuwa speechless.
Sawa. Speechless kwa jeuri na ukatili uliofanywa na watekaji/wauaji AU kwa kauli zilizopishana za viongozi wa CHADEMA na mashuhuda wengine? AU kwa vyote?I am also thinking aloud. As I said, like others: "I am speechless."
Utasema nini? Kumbe nani yuko salama?
Hakuna mtu anayeweza kumnyooshea kidole mtu asiyehusika, mnona hawatajwi wale ndugu zetu wa Ngome, Lugalo na kwingineko? au hata machinga, walimu na viongozi wa dini kuhusika na haya mauchafu? Na kama sio wao basi watuonyeshe kwa mujibu wa majukumu yao ya kazi. Yaani watu wafanye matukio ya kuwachafua halafu wao wapo tu ofisini wanalipwa kufanya kazi gani kama jukumu lao la msingi wameshindwa kulifanya?Hakuna jicho la tatu hapo na hayupo mwenye kulihitaji.
Kudai uwajibikaji badala ya kuomba uwajibikaji ndiyo njia pekee.
Bila hivyo wamasai wasingekuwa ngorongoro leo ndugu.
Kwani kwenye nukuu hizo ipo moja ngeni kwako?
Zaidi sana haka kakujitoa ufahamu na kuwanyooshea wengine vidole ni utoto uliopitiliza.
Kuwa wenye kujisahau sisi, kwani wewe nani uliyemkamilifu hivyo ndugu?
Sawa. Speechless kwa jeuri na ukatili uliofanywa na watekaji/wauaji AU kwa kauli zilizopishana za viongozi wa CHADEMA na mashuhuda wengine? AU kwa vyote?
Viongozi wengi wa Chadema Wana Viapo Vya asili Kwa mfano Dr Slaa ni Padre
Hakuna mtu anayeweza kumnyooshea kidole mtu asiyehusika, mnona hawatajwi wale ndugu zetu wa Ngome, Lugalo na kwingineko? au hata machinga, walimu na viongozi wa dini kuhusika na haya mauchafu? Na kama sio wao basi watuonyeshe kwa mujibu wa majukumu yao ya kazi. Yaani watu wafanye matukio ya kuwachafua halafu wao wapo tu ofisini wanalipwa kufanya kazi gani kama jukumu lao la msingi wameshindwa kulifanya?
Ukitumia akili utajua sema sasa tatizo lipo kwa baadhi yenu kuwa haya mnayofanyua ni sehemu ya kazi zenu. Mnaweza kupoata tarifa za hatar kwenye mikutano ya Chadema ila hamkuwahi kupata taarifa za hatar za Kibao kutekwa, Lisu kupigwa risasi, kina Ben na Azory kupotea na hao wengine.
mzimu uko HQ ya chama,
picha ya mwanzo wameitoa na picha ya mwisho wameitoa...
kuna uwezekano wa A to Z wa alichotendewa kamanda Ally Mohamed kibao wakawa nayo HQ Ya chama kujiridhisha uchunguzi ufanyike tuπ