NUKUU: Vikao vianze tu hivyo hivyo, hata kama hayupo, amesusa au hajulikani alipo!

"Hakuna haja ya kubembelezana tena, muda haurudi nyuma, mambo ni mengi na watu wamesafiri na kuacha shughuli zao binafsi kuja kufanya vikao ili mambo mengine yaendelee. Sasa kama hayupo, hajulikani alipo au amesusa, hilo ni lake binafsi, halituhusu moja kwa moja. Kwa kuwa wasaidizi wake rasmi wapo, basi vikao vianze, hili jambo liishe sasa."

NUKUU
Kaonekana huko anafanya vikao na warembo ila mazingira ni kama kwenye chumba cha kulala au korido wamezungushia matambara ya bendera.
 
Mwamba 🐼
1000046826.jpg
 
"Hakuna haja ya kubembelezana tena, muda haurudi nyuma, mambo ni mengi na watu wamesafiri na kuacha shughuli zao binafsi kuja kufanya vikao ili mambo mengine yaendelee. Sasa kama hayupo, hajulikani alipo au amesusa, hilo ni lake binafsi, halituhusu moja kwa moja. Kwa kuwa wasaidizi wake rasmi wapo, basi vikao vianze, hili jambo liishe sasa."

NUKUU
Au siyo? 😂😂👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DMVDFqAqxho/?igsh=cWRmYjExNjRsaDFj

Uzushi ni Kwa Ajili ya wajinga
 
Back
Top Bottom