NUKUU: Vikao vianze tu hivyo hivyo, hata kama hayupo, amesusa au hajulikani alipo!

Unaweza kuwa na nia ya kumuokoa mhanga wa majambazi lakini ukakosa ujasiri wa kupambana nayo. Sasa sijui utaambiwa hukuuona ubaya wa majambazi hivyo hukuwa na nia ya kuokoa?
Then you'll have no business being in politics; because you have no conviction of what you believe in; this is not something you can wear when it is convenient, and un-wear when it suits you.
 
Sawa mkuu. Lakini ungetilia maanani pia nilichoongeza kuhusu mazingira (the harsh and nasty reality).

Unaweza kuwa na nia ya kumuokoa mhanga wa majambazi lakini ukakosa ujasiri wa kupambana nayo. Sasa sijui utaambiwa hukuuona ubaya wa majambazi hivyo hukuwa na nia ya kuokoa?

Mimi binafsi hata kumpa rushwa trafiki inaniwia vigumu sana kisaikolojia. Not my cup of tea. Sijawahi.
Mkuu,

Nakuelewa.

Lakini pia, nia inapimwa kwa ujasiri wa kuitimiza.

Ukiwa unaotaota tu kufanya kitu bila ujasiri wa kufanya matendo ya kukitimiza, hapo tunaweza kusema huna nia, una ndoto tu.
 
Yote haya ni hila za kikwete na hatma ya uongozi wa nchi......alifanya uhuni wa kupindisha michakato 2015 ili ampate Membe au Januari au Asha rose migiro au Amina ambao vibonde kwake......watu wa lowassa wakampa Magufuli.....ikawa pigo kwake na ccm ikagawanyika na kiasi kikubwa ilikuwa ife sabubu ya huyu mzee wa njama njama......hii 2025 ameingia na gia ya kuchomekea jina la samia kwa njama njama kwenye kikao ambapo yeye siye msemeya wajumbe.......mjumbe mmojakwa ujasiri akahoji HATUWEZI KUMJADILI MWENYEKITI NA MAKAMU WAKIWA HAPA MBELE YETU WAENDE NJE KUPISHA KUWAJADILI........mamayenu kastuka akagoma kwenda nje kujadiliwa......uhuni tu.....kikwete sio wa kutupangia......wastaafu wanawashwa washwa wanavuga utaratibu kwa maslahi yake tamaa mbele mbele
Bora huyu mstaafu angeondoka badala ya ben
 
I agree with the first Part; not exactly with the second Portion of your answer.
Politics has nothing to do with crooked minds and means, even though such things do haPPen from time to time, i.e., the Trump types!
Well, you really have faith, mkuu. I guess you have often heard or read that it's unusual to find the words politician and honest in one sentence?

Politicians don't have to be necessarily "crooked". They may have the best of intentions, but they have to be strategic! That's where the trouble begins. Winning people in a competitive environment especially when the majority are simpletons, you have to craft your message in rather dubious terms: lots of incorrect "facts", unsubstantiated allegations, exaggerations and often plain lies. It's no easy task for a decent chap with purely rational mind to undertake.

Even JK Nyerere did a lot of that. Lots of "crooked stuff" to get the questionable Union in place, Ujamaa policy, one party system, and the imperial presidency. Yet his real intentions were "honourable", so I can say. He seriously wanted to advance his country on the true path of development - BUT on his terms. He brooked no tolerance for dissent. Let's say he was a smart, decent, "crook", if you won't mind.
 
"Hakuna haja ya kubembelezana tena, muda haurudi nyuma, mambo ni mengi na watu wamesafiri na kuacha shughuli zao binafsi kuja kufanya vikao ili mambo mengine yaendelee. Sasa kama hayupo, hajulikani alipo au amesusa, hilo ni lake binafsi, halituhusu moja kwa moja. Kwa kuwa wasaidizi wake rasmi wapo, basi vikao vianze, hili jambo liishe sasa."

NUKUU
Jukwaa la wazushi Muhimu sana
 
Politicians don't have to be necessarily "crooked". They may have the best of intentions, but they have to be strategic! That's where the trouble begins. Winning people in a competitive environment especially when the majority are simpletons, you have to craft your message in rather dubious terms: lots of incorrect "facts", unsubstantiated allegations, exaggerations and often plain lies. It's no easy task for a decent chap with purely rational mind to undertake.
A clear and, fundamental statement you've stated here. However, a leader who has 'conviction', has irreducible minimums for which he/she can Put on the line as bargaining assets.

Again' what one believes in cannot be changing whimsically because of the Prevaling circumstances which may be changing all the time. Accommodation, yes; but within limits not to affect the P rimary objectives. That's conviction.
 
"Hakuna haja ya kubembelezana tena, muda haurudi nyuma, mambo ni mengi na watu wamesafiri na kuacha shughuli zao binafsi kuja kufanya vikao ili mambo mengine yaendelee. Sasa kama hayupo, hajulikani alipo au amesusa, hilo ni lake binafsi, halituhusu moja kwa moja. Kwa kuwa wasaidizi wake rasmi wapo, basi vikao vianze, hili jambo liishe sasa."

NUKUU
Kwa sababu mpo kutunga uongo mitandaoni, ni swala la muda tu mtachanganyikiwa!
Sasa unabisha ulikuweepooo! Ndio amesusa sasa!
 
"Hakuna haja ya kubembelezana tena, muda haurudi nyuma, mambo ni mengi na watu wamesafiri na kuacha shughuli zao binafsi kuja kufanya vikao ili mambo mengine yaendelee. Sasa kama hayupo, hajulikani alipo au amesusa, hilo ni lake binafsi, halituhusu moja kwa moja. Kwa kuwa wasaidizi wake rasmi wapo, basi vikao vianze, hili jambo liishe sasa."

NUKUU
Mama yuponKizimkazi mkuu,usihofu!
 
Sasa wataahirisha vikao mpaka lini......waanue matanga tu wanandugu tukaendelee na shughuli zingine
20241104_190439.jpg
 
Kwani mkimcheki hapo dawning street hayupo kabisa ama kachungulia vikao vikaonekana vikaoni😂😂😂😂
 
Yote haya ni hila za kikwete na hatma ya uongozi wa nchi......alifanya uhuni wa kupindisha michakato 2015 ili ampate Membe au Januari au Asha rose migiro au Amina ambao vibonde kwake......watu wa lowassa wakampa Magufuli.....ikawa pigo kwake na ccm ikagawanyika na kiasi kikubwa ilikuwa ife sabubu ya huyu mzee wa njama njama......hii 2025 ameingia na gia ya kuchomekea jina la samia kwa njama njama kwenye kikao ambapo yeye siye msemeya wajumbe.......mjumbe mmojakwa ujasiri akahoji HATUWEZI KUMJADILI MWENYEKITI NA MAKAMU WAKIWA HAPA MBELE YETU WAENDE NJE KUPISHA KUWAJADILI........mamayenu kastuka akagoma kwenda nje kujadiliwa......uhuni tu.....kikwete sio wa kutupangia......wastaafu wanawashwa washwa wanavuga utaratibu kwa maslahi yake tamaa mbele mbele
Msoga genge leader hata hivyo IQ Yake huwa ni very low. Kiboko yake ni General PK a tough guy. Huwezi kukaka unawmeya mwenya ukawa na mawazo serious. Yeye huonaga kila kitu ni easy.
 
Back
Top Bottom