Hiyo Picha ni ya kikweli, ndilo la muhimu, kama unaweza kujibu.Chadema Mwamba ni mmoja tu ambaye kwa sasa karudi nyumbani mbogamboga 🇹🇿
Hiyo Picha ni ya kikweli, ndilo la muhimu, kama unaweza kujibu.Chadema Mwamba ni mmoja tu ambaye kwa sasa karudi nyumbani mbogamboga 🇹🇿
Kafuata sharubati ya ndimu. 😂"Hakuna haja ya kubembelezana tena, muda haurudi nyuma, mambo ni mengi na watu wamesafiri na kuacha shughuli zao binafsi kuja kufanya vikao ili mambo mengine yaendelee. Sasa kama hayupo, hajulikani alipo au amesusa, hilo ni lake binafsi, halituhusu moja kwa moja. Kwa kuwa wasaidizi wake rasmi wapo, basi vikao vianze, hili jambo liishe sasa."
NUKUU
Amesusa kama kawaida yake"Hakuna haja ya kubembelezana tena, muda haurudi nyuma, mambo ni mengi na watu wamesafiri na kuacha shughuli zao binafsi kuja kufanya vikao ili mambo mengine yaendelee. Sasa kama hayupo, hajulikani alipo au amesusa, hilo ni lake binafsi, halituhusu moja kwa moja. Kwa kuwa wasaidizi wake rasmi wapo, basi vikao vianze, hili jambo liishe sasa."
NUKUU
Hao warembo itakuwa ni majini.Kaonekana huko anafanya vikao na warembo ila mazingira ni kama kwenye chumba cha kulala au korido wamezungushia matambara ya bendera.
Ni huyu aliye bize kuhonga ng'ombe wampe nyamaNani huyo kajificha??
Since they "lacked conviction", they were not "the best"!The best lacked conviction.
Subiri watakavyo ibuka na ulaghai wakirejea kutoka mafichoni!Msogazzzziiiiii tupishe bana. Acha warejeshe nchi kwa wenye nchi
Uhuni ufike mwisho!
Tumechoka
Ni mimiHaturuhusiwi kumjua aliyefanyiwa nukuu/".........."?
Lack of conviction? Not, exactly. They lack the will and what it takes - in the face of harsh and nasty reality involved.Kuna mzee wangu mmoja alisoma vizuri, akafaulu vizuri, akafanya kazi serikalini mpaka juu kabisa kuongoza taasisi moja nyeti, kwa kazi ya kuteuliwa na rais.
Solid patriot, well educated, well travelled, humble as could be.
Alivyostaafu, alipata wazo la kugombea ubunge. Taasisi aliyoiongoza viobgozi wake walikuwa na historia ya kugombea ubunge. In fact hata watu ambao hawakufika juu kabisa walienda kugombea ubunge.
Sasa yule mzee, akaanza kuangalia process ya kugombea ubunge. Akagundua kuwa iki kuwa mbunge inambidi qfanye siasa za makanisani sana, aongope sana, atoe rushwa sana.
Alikuwa mtu wa imani sana. Akasema ataomba Bwana amuongoze kufanya maamuzi. Baadaye Akasema kuwa hakufunguliwa kugombea ubunge. Hatagombea.
Kwa sababu aliona rushwa sana, siasa za udini sana, uongo sana katika process ya kupata ubunge.
Wakati huo huo, watu wasio makini, wasio na principle, wasio na integrity wamegombea ubunge mpaka urais, wakaongoza nchi.
Ndipo hapo utaona the best lqck conviction while the worst prevail.
Is Samia the best person to be our president? Not by far.
How did we get such a person to be president?
The best lacked conviction.
Picha ni ya kweli ndio sababu ya sintofahamu iliyopo 🐼✔️Hiyo Picha ni ya kikweli, ndilo la muhimu, kama unaweza kujibu.
What you call will could easily and interchangibly be called conviction.Lack of conviction? Not, exactly. They lack the will and what it takes - in the face of harsh and nasty reality involved.
Contesting political power is no place for decent folks with rational minds.
Hili linagharimu wema wengi...best lqck conviction while the worst prevail
I agree with the first Part; not exactly with the second Portion of your answer.Lack of conviction? Not, exactly. They lack the will and what it takes - in the face of harsh and nasty reality involved.
Contesting political power is no place for decent folks with rational minds.
Sawa mkuu. Lakini ungetilia maanani pia nilichoongeza kuhusu mazingira (the harsh and nasty reality).What you call will could easily and interchangibly be called conviction.
Lack of will is neccessarily lack of conviction.
Hutakiwi kusema kuwa wewe unasimamia haki kiukweli kabisa, unaamini kabisa katika haki, halafu hutaki kupigania haki.
Hapo tutasema kuwa imani yako ya kusimamia haki ina walakini, haijakamilika.
Wewe mtu, kwa ku-sPin' tu huwezekani. Sijui ulijifunzia waPi?Picha ni ya kweli ndio sababu ya sintofahamu iliyopo 🐼✔️
Sasa siku maudenda akikata moto ndo mtaandika kitigrai humu!Ukiwepo na wewe